• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Taratibu zinazo tumika katika kupata vikundi vinavyopendekezwa kupewa mkopo kutoka mfuko wa wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

Ili kudumisha uwazi na haki ya kila kikundi kuwa na fursa ya kupata mkopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mchakato  unaanzia ngazi ya Kijiji/Mtaa ambako vikundi vinatoka.

Utaratibu ni kama ufuatavyo:

  • Vikundi vitapeleka maombi ya mkopo katika Halmashauri ya Kijiji. Halamashauri ya kijiji itajadili na kupendekeza majina ya  vikundi vitatu (3) na kuyawasisilisha pamoja na Muhtasari wa kikao na majina ya vikundi vilivyopendekezwa ngazi ya Kata
  • Kamati ya Maendeleo ya Kata itajadili majina ya vikundi kutoka ngazi ya Kijiji na kupendekeza majina ya vikundi viwili (2) na kuyawasilisha Muhtasari wa kikao cha WDC na majina ya vikundi vilivyopendekezwa ngazi ya Wilaya (Halmashauri)

Wakati wa kujadili katika ngazi hizo mambo yafuatayo yatatumika kama vigezo  katika mchakato wa kupendekeza vikundi vitakavyopata mkopo toka MFUKO WA WANAWAKE

  • Kikundi kiwe na shughuli inayoendelea angalau miezi 6 ili kuepuka vikundi vinavyoundwa kwa ajili ya mkopo kwa sababu vikundi vya aina hiyo havina uendelevu baada ya mkopo kuisha
  • Kikundi kiwe kimesajiliwa na kutambulika kisheria
  • Kikundi kiwe na Akaunti benki

Katika ngazi ya Kata, Kata ambazo kuna Afisa Maendeleo ya Jamii atatumiwa sana kuvitambua vikundi vinavyotakiwa kupata mkopo kwani yeye ndie mtaalamu anaefanya kazi na vikundi kwa kuvipa ushauri na mafunzo mabalimbali hivyo atakuwa anatambua uimara na udhaifu wa vikundi vyote katika Kata.

Aidha Afisa Maendeleo ya Jamii wa Kata atasaidia kuvikumbusha vikundi vilivyopata mkopo kurejesha mkopo muda wa urejeshaji unapofika kwa vikundi vitakavyopata mkopo.

Vikundi vikishapita katika ngazi ya Kijiji, Kata na ngazi ya Wilaya na kisha kukubaliwa kupata mkopo mambo yafutayo yanafanyika:

  • Kikundi Kitaingia makubaliano na kusaini mkataba na  Halmashauri ili kuhakikisha kuwa wanarejesha fedha waliokopeshwa
  •  Mkataba huu utasainiwa na Halmashauri (Mkurugenzi Mtendaji) na Mwanasheria kwa upande wa mkopeshaji
  • Upande wa Wanakikundi kama mkopaji Mkataba utasainiwa na viongozi wa vikundi wanne yaani Menyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu na Mtunza Fedha wa kikundi.
  • Mtendaji wa Kijiji kinakotoka kikundi ataweka saini kwenye mkataba kama mdhamini wa kikundi.
  • Viongozi (Menyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu na Mtunza Fedha wa kikundi) watawasilisha picha zao (passport size) Halamashauri na kubandikwa kwenye mkataba.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 SHULE ZA SKONDARI ZA WILAYA YA MBARALI MKOA WA MBEYA January 15, 2021
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI YA WILAYA YA MBARALI 2021 December 19, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA MBARALI 2021 December 21, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA MBARALI 2021 December 21, 2020
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • Rudisheni Mikopo kwa wakati ili na wengine wanufaike-Twalib

    January 19, 2021
  • Tutaendelea Kuboresha Miundombinu ya Umwagiliaji Mbarali-Mfune

    November 24, 2020
  • DC Mbarali azitaka Taasisi Kutoa ajira kwa Wahitimu wa Jeshi la Akiba

    November 23, 2020
  • KAMATI YA USALAMA MBARALI YAWAPONGEZA WACHIMBAJI WA MADINI.

    November 10, 2020
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255713317374

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2018 GWF. Haki zote Zimehifadhiwa.