• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA USALAMA MBARALI YAWAPONGEZA WACHIMBAJI WA MADINI.

Tarehe ya Kuanza: November 10th, 2020

Kamati ya Usalama Wilaya ya Mbarali ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma Msangi imetembelea wachimbaji wa madini wanaopatikana wilaya ya Mbarali na kufurahishwa na jitihada wanazozifanya katika machimbo hayo.

Kamati hiyo imefanya ziara siku ya tarehe 10/11/2020 katika vijiji vya Msesule, Mayota na Lugelele ikiwa na lengo la kuangalia na kujiridhisha hali ya usalama wa wananchi wanaofanya kazi katika machimbo hayo, hali ya kimazingira, migogoro iliyopo kwenye maeneo hayo pamoja na upatikanaji wa kodi ya Serikali na ushuru wa Halmashauri.

Ndg. Msangi amewataka wachimabi hao kufuata taratibu zote zilizowekwa na Serikali ikiweo kulipa Kodi na Ushuru wa Halmashuri, kuhuisha lesini zao mara zitakapoisha muda wa matumizi, kununua vitendea kazi vya kisasa pamoja na kuweka mazingira mazuri kwa watumishi wao wa migodini.

“Kupatikana kwa madini Wilaya ya Mbarali ni fursa kwa Serikali na wananchi wake, Serikali itafaidika kwa kupata Kodi pamoja na ushuru, na wananchi wetu watapata ajira, nawasihi wananchi wa Mbarali tujitokeze kwenye hii fursa tuliyoipata ili tujiongezee vipato vyetu.” Alisema Msangi.

Naye Afisa Madini Mkazi Ofisi ya Mbeya Ndg. Godson Kamihanda alisema kuwa kwa sasa wanaendelea kutoa vibali kwa wachimbaji wadogo, wa kati na wakubwa na hadi sasa kwa Wilaya ya Mbarali wameshetoa leseni 55.

Kuhusiana na ushuru wa Halmashauri bwana Kamihanda alisema kuwa Ofisi yake ipo tayari kutoa ushirikiano ili mapato ya Serikali yasipotee.Mjiolojia Ofisi ya Madini Mbeya Ndg. Ezekiel Seni aliongezea kuwa kwa Wilaya ya Mbarali watu wengi wameomba leseni za uchimbaji wa Dhahabu na ili mwenye leseni aweze kuanza uchimbaji anatakiwa kupata ridhaa au makubaliano na mmiliki wa Ardhi, na kama hawata afikiana kibali cha leseni kilichotolewa kinafutwa.

Nao wachimbaji wa madini Wilaya ya Mbarali ndg. Christopher Uhagile kutoka mgodi wa Vat Leaching na Ndg Hawa Zuberi Mgobasa (Makweta) kwa niaba ya wenzao wameishukuru kamati ya Usalama Wilaya ya Mbarali kwa kuwatembelea pamoja na kutambua uwepo wao katika maeneo hayo na wameahidi kutoa ushirikiano kwa Serikali.

MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 SHULE ZA SKONDARI ZA WILAYA YA MBARALI MKOA WA MBEYA January 15, 2021
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI YA WILAYA YA MBARALI 2021 December 19, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA MBARALI 2021 December 21, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA MBARALI 2021 December 21, 2020
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • Tutaendelea Kuboresha Miundombinu ya Umwagiliaji Mbarali-Mfune

    November 24, 2020
  • DC Mbarali azitaka Taasisi Kutoa ajira kwa Wahitimu wa Jeshi la Akiba

    November 23, 2020
  • KAMATI YA USALAMA MBARALI YAWAPONGEZA WACHIMBAJI WA MADINI.

    November 10, 2020
  • Maafisa Waandikishaji wa CHF iliyoboreshwa wakabidhiwa Simu Janja Mbarali

    October 23, 2020
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255713317374

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2018 GWF. Haki zote Zimehifadhiwa.