• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Tuiombee Nchi yetu kama tulivyoomba kipindi cha Korona-Mfune

Tarehe ya Kuanza: August 29th, 2020

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune kwenye kikao cha pamoja kati ya Viongozi wa Dini, Viongozi wa Vyama vya siasa, wazee maarufu pamoja na wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo kwa lengo la kuhamasiha jamii ili iweze kushiriki kikamili uchaguzi Mkuu wa tarehe 28/10/2020 pamoja kujadili maadili kwa vyama vya siasa na wagombea katika kuendesha shughuli za siasa wakati wa kampeni siku ya tarehe 28/08/2020 katika ukumbi wa Halmashauri.

Katika kikao hicho Mhe. Mfune amewaomba viongozi wa dini wa madhehebu yote kuendelea kuliombea taifa letu kama walivyofanya kipindi cha ugonjwa wa Korona ili uchaguzi ufanyike kwa amani.

"Wakati tulivyokuwa na changamoto kubwa ya Ugonjwa wa Korona mlishiriki kwa kiasi kikubwa kuliombea Taifa letu, msisite kuendelea kuliombea Taifa letu kwa kuwa haya mambo ndiyo yanayoweka mstakabali wa maendeleo ya nchi yetu, tunawaomba katika sala mbalimbali mshirikishe na uchaguzi mkuu ambao ndio utakaotupatia viongozi watakaotuongoza kwa miaka mitano ijayo."

"Nawasihi sana Vyama vya siasa kufuata ratiba za kampeni kama zilivyopangwa, kufanya kampeni za kistaarabu, kunadi sera na mipango yenu na sio kampeani lugha za matusi, kashfa au kudhalilisha utu wa watu wengine na kwa ambae atakwenda kinyume na taratibu atachukuliwa hatua za kisheria." Alisema Mhe. Mfune

Mhe Mfune aliongeza kuwa, Uchaguzi ni mchakato unaojumuisha hatua na taratibu mbalimbali za kufuatwa na kuzingatiwa kwani kwani ndio msingi wa uchaguzi kuwa mzuri na wenye ufanisi, kwani itasaidia kupunguza au kuondoa kabisa malalamiko au vurugu wakati wote wa mchakato.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ambaye ni Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Jimbo Ndugu Kivuma Msangi alisema kuwa kwa upande wa jimbo la Mbarali wanachama watano wa vyama tofauti waliochukua fomu za ubunge ila waliorudisha ni wananchama wanne, na kwa upande wa madiwani waliochukua fomu ni wanachama 55 wa vyama tofauti na  ambao wamerudisha fomu ni wananchama 54.

Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ambaye ni Msimamizi msaidizi ngazi ya jimbo Bi. Jackline Ngaiza aliongeza kuwa, wagombea wote wa nafasi mbalimbali za uongozi pamoja na vyama vyao, wanatakiwa kuheshimu na kufuata Katiba ya Nchi, Sheria ya Uchaguzi, Kanuni za Uchaguzi, maadili ya uchaguzi na maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi pamoja na sheria zingine za Nchi katika kipindi chote cha uchaguzi.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • KIKAO CHA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI NA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAPATA HATI SAFI BAADA YA UKAGUZI WA CAG

    June 17, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAAFISA WATENDAJI WA HALMASHAURI BAADA YA KIKAO KAZI

    June 16, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIZINDUA NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.