• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Tuzingatie Maelekezo Yanayotolewa na Serikali Dhidi ya Corona-Mtega

Tarehe ya Kuanza: May 1st, 2020

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mhe. Francis Mtega alipokuwa akifungua kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya tatu ya mwaka 2019/2020 kilichofanyika tarehe 30/04/2020 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Rujewa kwa ajili ya kujadili shughuli mbalimbali za maendeleo  zinazoendela katika Halmashauri.

Mhe. Mtega amewataka Madiwani wote kuendelea kutoa maelekezo kwa wananchi ili wafuate  maelekezo yanayotolea na Serikali na pamoja na wataalamu wa afya namna ya kujikinga na ugonjwa  wa Corona unaoshambulia Dunia kwa sasa.

Sambamba na hilo Mhe. Mtega ameendelea kusisitiza suala la uwajibikaji wa kila mtu katika sehemu yake katika kusimamia sheria na taratibu zote zinazohusika kwa ajili ya mafanikio ya halmashauri ili wananchi waweze kufaidika.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma Msangi amewaomba madiwani  kuendelea kutoa ushirikiano kwa wataalamu katika suala la ukusanyaji wa mapato wa halmashauri kwani hali inaonyesha kila mwaka mapato huwa yanaongezeka na hadi kufikia sasa mapato ya ndani yamefikia asilimia 81 na lengo kubwa kuvuka malengo waliyojiwekea

Aliongeza kuwa, madiwani ndio wenye wananchi, maagizo yanayotolea na serikali wawe wanawakumbusha watendaji waweze ili waweze kuyasimamia.

Msangi aliongeza kuwa, ugonjwa wa Corona hauchaugi kiongozi, kabila, siasa, chama wala dini, kwani umejikita kila mahali, kila mtu anapaswa kuchukua tahadharii.

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune ameagiza kuchukuliwa hatua kwa watu wote wanaorudisha nyuma zoezi la ukusanyaji wa mapato ya halmashauri, na kwa upande wa wazabuni wanaokusanya  mapato na bado hawajawasilisha fedha halmashauri waziwasirishe haraka, na kwa  wale wanaokaidi kulipa waondolewe kwa mujibu wa sheria.

“huu sio muda wa kubembelezana, wale waliokuwa wanahistoria ya kusumbua katika masuala ya ukusanyaji wa mapato, sioni haja ya kuendelea nao tena, tuna watu wengi wenye uwezo katika wilaya yetu”

Vilevile Mhe. Mfune amewapongeza madiwani kwa kuisimamia vizuri halmashauri bila kuleta migogoro, kitu kilichopelekea kupata hati safi.

Kuhusiana na taasisi ambazo zipo nje ya halmashauri, Mkuu wa Wilaya amewataka madiwani  kupita katika ofisi yake, ili waweze kupata majibu ya vitu wanavyovihitaji.

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbarali ndg. Abdallah Mpokwa  amewapongeza Madiwani pamoja na uongozi wa halmashauri kwa kusimamia vizuri Ilani ya Chama Cha Mapinduzi  kwani kila kinachofanyika kinaonekana hasa shughuli za maendelo na suala la ukusanyaji wa mapato na amewataka madiwani kuendelea kutoa ushirikia kwa halmashauri ili waweze kufanya vizuri zaidi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI April 16, 2021
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • KANUNI ZA UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU TANGAZO LA SERIKALI NA. 217LA TAREHE 26.02.2021 March 02, 2021
  • MUHTASALI WA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YA MWAKA 2021-2022 February 11, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC AZITAKA KAYA ZINAZOWEZESHWA NA TASAF KUFUGA KUKU, BATA WA ASILI

    March 03, 2021
  • PESCODE VICOBA YATOA MEZA NA VITI 52 MBARALI

    February 26, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI

    February 11, 2021
  • Fanyeni Kazi kwa Bidii kwa Kutumia Taaluma zenu-DC Mbarali

    January 30, 2021
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255713317374

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2018 GWF. Haki zote Zimehifadhiwa.