• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

 Mhe. 


Mwenyekiti wa Kamati

 

 

 

KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA

  

WAJUMBE WA KAMATI 

 

NA



JINSI

WADHIFA

1.


Ke

Mwenyekiti
2.


Me

Mjumbe
3.


Me

Mjumbe
4.


Me

Mjumbe
5.


Me

Mjumbe
6.


Me

Mjumbe
7.


Ke

Mjumbe
8.


Ke

Mjumbe
9.


Ke

Mjumbe
10


Me

Mjumbe
11


Me

Mwenyekiti
12


Me

Mjumbe
13


Me

Mjumbe
14


Me

Mjumbe
 







Majukumu ya Jumla 

Kamati hii inashughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo,mifugo,viwanda ,madini, Biashara, n.k Aidha inashughulikia pia miundombinu na suala zima la maendeleo ya Ardhi na hifadhi ya Mazingira.

Majukumu maalumu ya kamati:- 

  1. Kupendekeza kwa Halmashauri  mipango ya kupanua Biashara na jinsi ya kukusanya Mapato yatokanayo na upanuzi huo.
  2. Kupendekeza  mipango ya matumizi ya Ardhi katika eneo la Halmashauri.
  3. Kusimamia matumizi ya Sheria ya nguvu kazi.
  4. Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa kilimo katika Halmashauri.
  5. Kusimamia na kuhakiki miradi ya ujenzi wa masoko,minada,majosho na vituo vya mifugo.
  6. Kushughulikia uanzishwaji na uendelezwaji wa Vyama vya Ushirika kwa mujibu wa sheria Na. 15 ya 1982.
  7. Kusimamia uanzishwaji na uendelezaji wa vikundi vya jamii na vya hiari vya wananchi katika Halmashauri kwa mujibu wa sera na Maendeleo ya jamii
  8. Kusimamia na kuhakikisha maeneo ya Misitu, mapori na mbuga zilizotengwa kama hifadhi ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa.
  9. Kupendekeza na kufanya tathimini ya uendelezaji wa mabonde, mito na mabwawa.
  10. Kubuni na kupendekeza namna ya kudhibiti moto.
  11. Kubuni na kupendekeza mikakati ya utumiaji wa nishati mbadala, kuzuia ukataji miti ovyo na kuhimiza upandaji miti kwa wingi.
  12. Kuhakiki kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara.
  13. Kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara vijijini na wilayani kwa ujumla.
  14. Kupendekeza Sheria ndogo zinazohusu kamati hizi.


Matangazo

  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, UCHAGUZI WA MBUNGE JIMBO LA MBARALI SEPTEMBER 19, 2023 September 01, 2023
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, UCHAGUZI WA MBUNGE JIMBO LA MBARALI SEPTEMBER 19, 2023 September 01, 2023
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, UCHAGUZI WA MBUNGE JIMBO LA MBARALI, SEPTEMBA 19, 2023 September 01, 2023
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, UCHAGUZI WA MBUNGE JIMBO LA MBARALI, SEPTEMBA 19, 2023 September 01, 2023
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI AKISHIRIKI ZOEZI LA USAFI KATIKA KATA YA UBARUKU

    March 03, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI KANALI DENIS MWILA AKISHIRIKI ZOEZI LA USAFI NA UPANDAJI WA MITI WILAYA YA MBARALI TAREHE 18/02/2023

    February 24, 2023
  • TIMU YA CMT MBARALI NA MENEJA WA MAJI WILAYA YA MBARALI WAKIKAGUA MRADI WA MAJI

    May 15, 2022
  • AFISA UTUMISHI NA UTAWALA

    June 09, 2022
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.