• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kilimo

MAJUKUMU NA MUUNDO WA IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA

Idara ya kilimo, Umwagiliaji na Ushirika ni moja kati ya idara / vitengo 19 vilivyoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

 

MUUNDO WA IDARA YA KILIMO UMWAGILAJI NA USHIRIKA

  1. Mkuu wa Idara – Afisa Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Wilaya (DAICO)
  2. Wakuu wa sekta:-

Umwagiliaji- Mhandisi Kilimo Wilaya

Ushirika –     Afisa ushirika wilaya

Kilimo -         Afisa Kilimo Wilaya

 

  1. Wakuu wa visehemu (Wataalam bingwa – Subject Matter Specialists(SMS)):-

Afisa Mazao                                                  8. Afisa Ugani

Mhandisi Kilimo                                            9. Afisa lishe

Afisa afya ya Mimea na mazao                     10. Afisa mboga na matunda (Horticulture)

Afisa Takwimu kilimo                                   11. Afisa Pembejeo za kilimo

Afisa mipango na matumizi bora ya ardhi    

Afisa zana za Kilimo (Agro-Mechanization)

Maofisa ushirika (Mmoja kwa kila vyama saba)

  1. Ngazi ya kata-  Afisa Ugani Kilimo Kata (WAEO)
  1. Ngazi ya Kijiji –  Afisa Ugani Kilimo Kijiji (VAEO)

Malengo ya  idara 

Kumeongeza uzalishaji na ubora wa mazao ya kilimo ili kuhakikisha usalama wa chakula na kuongeza kipato ngazi ya kaya,

Kuongeza mapato ya Halmashauri

Kuchangia katika ghala la chakula la taifa na kuongeza kipato cha taifa kupitia biashara za ndani na za kimataifa

Idadi ya Watumishi

Idara ina jumla ya watumishi 98 ambapo sekta ya kilimo ina watumishi 81, umwagiliaji ina watumishi 10 na ushirika ina watumishi saba (7)

Majukumu ya idara ni kama ifuatavyo:-

  • Kutekeleza sera, sheria, kanuni,  taratibu na miongozo
  • Kushirikiana na kitengo cha sheria kutunga sheria ndogo za kusimamia kilimo bora katika maeneo ya umwagiliaji na yasiyo ya umwagiliaji
  • Kutoa ushauri kitaalam wa kilimo bora kwa wakulima
  • Kuandaa bajeti ya idara kwa kushirikiana na Idara ya Mipango na Uratibu
  • Kuandaa maonesho na mashindano ya kilimo kwa kushirikiana na wadau / taasisi mbalimbali.
  • Kuhamasisha ushirikishwaji wa sekta binafsi katika utoaji huduma za ushauri wa kitaalam kwa wakulima.
  • Kuhamasisha uundaji na uimarishaji wa vikundi vya wakulima kwa ajili ya kurahisisha utoaji wa ushauri.
  • Kuandaa, kufuatilia na kutathimini utekelezaji wa malengo ya kilimo
  • Kufuatilia na kufanya tathimini ya hali ya upatikanaji wa chakula na hali ya lishe katika ngazi ya kaya
  • Kuiwezesha jamii kuibua, kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa miradi ya kilimo.
  • Kushirikiana na wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi pamoja na wadau wengine kudhibiti visumbufu vya mimea na mazao
  • Kusimamia matumizi ya rasilimali zinazotolewa kwa shughuli za kilimo
  • Kushirikiana na watafiti katika kujaribu na kusambaza teknolojia mpya katika mashamba ya wakulima
  • Kukagua vyama vya ushirika na Umoja wa Umwagiliaji (Irrigation Organizations)
  • Kusimamia na kutoa ushauri wa kiutendaji katika vyama vya Ushirika
  • Kutoa mafunzo ya  usimamizi na utawala wa biashara
  • Kuhamasisha, kuunda na kusajili vyama vya ushirika
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji za kila mwezi, robo na mwaka.

KILIMO

Asilimia 83 ya wakazi wa Wilaya ya Mbarali hujishughulisha na kilimo na ufugaji.  Mazao muhimu ya chakula ni pamoja na Mpunga, Mahindi, Viazi vitamu, Mihogo, Maharage na Mtama.  Hata hivyo mpunga huzalishwa kama zao la chakula na biashara.  Mazao ya biashara ni Alizeti, Karanga na Mazao ya bustani.

Kutokana na hali ya hewa isiyotabirika na kupungua kwa mvua, Halmashauri imekuwa inawekeza katika Kilimo cha umwagiliaji.

Mpaka sasa, Wilaya ya Mbarali ina jumla ya skimu za umwagiliaji 80 zenye jumla ya hekta 78,953. Kati ya hizo skimu 34 zimeboreshwa zenye jumla ya eneo linalofaa kulimwa hekta 41,724 lakini zinazolimwa ni 23,519. Aidha skimu 46 hazijaboreshwa zengye jumla ya eneo linalofaa kulimwa hekta 37,229 lakini zinazolimwa ni 20,989.

 

Juhudi zinaendelea za kuboresha miundombinu ya skimu za kilimo cha umwagiliaji, kuwajengea uwezo wakulima ili waweze kuzalisha kwa tija zaidi, Ujenzi wa miundombinu ya masoko (maghala na viwanda vya usindikaji) na kuboresha barabara za vijijini  zipitike kwa urahisi.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SALAMU ZA EID EL FITR

    March 31, 2025
  • DC MBARALI AANDAA HAFLA YA IFTALI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE,TASISI ZOTE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU..

    March 28, 2025
  • DC MBARALI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA CHIMALA

    March 14, 2025
  • KIKAO CHA DCC KUPENDEKEZA MAJINA YA MAJIMBO WILAYANI MBARALI

    March 13, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.