• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Ardhi na Maliasili

Idara ya Ardhi ni Mojawapo ya Idara 13 zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali. Idara ina Vitengo 2, Kitengo cha Ardhi na Kitengo cha Maliasili. Maliasili ina sehemu 3, nazo ni Utalii, wanyama Pori na Misitu.

Majukumu ya Idara

  • Kusimamia Sheria mbalimbali za Uhifadhi na Usimamizi wa Misitu, Wanyamapori na Utalii. Vilevile kusimamia za wananchi dhidi ya wanyamapori.
  • Ukusanyaji wa maduhuri ya Serikali Kuu na Halmashauri pamoja na Maduhuri mbalimbali
  • Upimaji wa Ardhi
  • Ubunifu wa Michoro ya Mipango Miji
  • Kuwezesha kuandaa Matumizi Bora ya ardhi
  • Uthamini wa mali zinazohamishika na zisizohamishika kwa matumizi mbalimbali na Umiliishaji wa ardhi

SEKTA YA ARDHI

Mtazamo wa Serikali sambamba na Utekelezaji wa Sheria za Ardhi Namba 4 na Namba 5 za mwaka 1999 ni kuwawezesha wananchi walio vijijini na mijini kutumia rasilimali ardhi katika kujikwamua na kuondokana na umasikini kwa kutumia ardhi waliyonayo. 

Kama ilivyoelezwa hapo awali Wilaya ya Mbarali ina jumla ya vijiji 102 na Miji midogo sita na mamlaka ya mji mdogo. Vijiji vilivyopimwa ni 49, vijiji 22 havijapimwa na vijiji 31 vipo ndani ya miji midogo ya Madibira, Ubaruku, Chimala, Igurusi, Utengule Usangu na Ruiwa pamoja na Mamlaka ya mji mdogo wa Rujewa.

Jumla ya vijiji 29 vina Mipango ya Matumizi bora ya ardhi na Mashamba 3,732 yamepimwa kwa ajili ya urasimishaji na jumla ya hati miliki za kimila 2,309 zimeandaliwa.

Mkakati wa Halmashauri wa kupanga matumizi bora ya ardhi ya Vijiji:-

Kuweka kwenye bajeti yake kila mwaka kwa ajili ya kuandaa mpango wa matumizi wa Kijiji kimoja.

Kuwahamasisha wananchi kuchangia gharama za kuandaa Mipango ya matumizi bora ya ardhi ya Vijiji vyao.

Kuwashirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo katika kuchangia gharama za kuwezesha kupanga Mipango ya matumizi bora ya ardhi mfano Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kupitia Mpango wa ujirani mwema kwa Vijiji vinavyozunguka hifadhi hiyo (waliwezesha Vijiji vya Miyombweni, Wimba Mahango na Ihahi), Taasisi binafsi ya WWF ambao wanafanya kazi kwenye Bonde la Mto Rufiji kupitia Ofisi ya Maji iliyopo Rujewa (waliwezesha Kijiji cha mpango wa matumizi bora ya ardhi wa Kijiji cha Nyakazombe na mapitio ya mpango wa Kijiji cha Nyakadete)  na WSC (World Conservation Society) kupitia Jumuiya ya Watumia Rasilimali za Wanyamapori (WMA’s) ambao waliwezesha Vijiji vya Nyamakuyu, Nyakadete, Ipwani, Luwango, Mkandami na Mapitio ya Mpango wa Matumizi ya Kijiji cha Kangaga, Manienga, Itipingi na Isunura).

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI YA MKATABA YA MTUNZA KUMBUKUMBU (DATA ENTRY CLERK) NA TABIBU (CLINICAL OFFICER II) TAREHE 02-12-2022 November 28, 2022
  • RE-ADVATISEMENT JOB VACANCIES November 10, 2022
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI AKISHIRIKI ZOEZI LA USAFI KATIKA KATA YA UBARUKU

    March 03, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI KANALI DENIS MWILA AKISHIRIKI ZOEZI LA USAFI NA UPANDAJI WA MITI WILAYA YA MBARALI TAREHE 18/02/2023

    February 24, 2023
  • TIMU YA CMT MBARALI NA MENEJA WA MAJI WILAYA YA MBARALI WAKIKAGUA MRADI WA MAJI

    May 15, 2022
  • AFISA UTUMISHI NA UTAWALA

    June 09, 2022
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.