• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Maendeleo ya Jamii

Mkuu wa Idara: Mganga Ngomuo

Idara ya Maendeleo ya Jamii ni “MTAMBUKA” ikihusisha sekta ya Maendeleo ya Jamii katika Nyanja za Kijamii, Kiuchumi,Kiutamaduni na hata Utawala bora. Lengo ni kuhakikisha Jamii inashiriki kikamilifu katika Kubuni, Kupanga,kutekeleza,kusimamia , na kufuatilia katika upatikanaji wa huduma za msingi za kiuchumi na kijamii katika maeneo yao.

Majukumu ya Msingi ya Idara;

  • Kushirikisha jamii katika kubuni, kupanga, na kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya maendeleo katika maeneo yao.
  • Kusimamia na kuratibu shughuli za wanawake,jinsia,wazee na watoto.
  • Kuhimiza jamii kujenga na kuimarrisha ari ya kufanya kazi za maendeleo kwa njia ya kuchangia na kujitolea kwa kutumia vizuri rasilimali chache zilizopo kwenye maeneo yao.
  • Kuhakikisha kuwa jamii inabadilika kutoka fikra na mitazamo asilia ya maendeleo na kuwa na fikra na mitazamo inayokwenda na wakati na kushiriki kikamilifu katika kubuni, kupanga, kutekeleza na kufuatilia mipango ya Maendeleo yao.
  • Kuelimisha Jamii kuondokana na mila potofu zinozopelekea vitendo vya kikatili dhidi ya Wanawake, Watoto, Vikongwe na Watu wenye ulemavu wa ngozi.
  • Kusimamia na kuratibu shughuli za mashirika yasiyo ya kiserikali na wadau wa Maendeleo.
  • Kutoa mafunzo ya ujasiriamali na kuwezesha vikundi vya wanawake kwa kuwapatia mitaji ya kuendeleza miradi yao
  • Kuelimisha Jamii zitambue kuwa rasilimali za kuleta maendeleo ziko ndani ya Jamii zenyewe na kwamba wanao uwezo wa kuzibaini na kuzitumia kwa ajili ya Maendeleo yao badala ya kufikiria kuwa zinapatikana kutoka serikalini au nje kama msaada.
  • Kuendeleza na kueneza teknolojia rahisi na sahihi vijijini kwa kuelimisha Jamii kujenga nyumba bora na zenye bei nafuu, kutumia majiko sanifu na banifu na utengenezaji wa matofali saruji udongo.
  • Kuelimisha jamii zione umuhimu wa kuchagua viongozi bora na kushirikiana nao katika Uongozi na kazi za kujitolea kwa maendeleo yao na kujenga tabia ya kuwajibika. Pia Jamii ione umuhimu wa kuzingatia sheria, kanuni na taraibu halali zilizopo.
  • Kusisitiza Jamii juu ya wajibu wa Wazazi/ Walezi wote wawili yaani Wanaume na Wanawake kwa pamoja katika malezi na Makuzi ya Mtoto.
  • Kuelimisha Jamii juu umuhimu wa Kuwatunza, kuwalinda na kuwathamini watu wote wenye ulemavu wa aina mbalimbali katika maeneo yao, ikiwa ni pamoja na kuanzisha mfuko maalam wa kusaidia kundi hili.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SALAMU ZA EID EL FITR

    March 31, 2025
  • DC MBARALI AANDAA HAFLA YA IFTALI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE,TASISI ZOTE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU..

    March 28, 2025
  • DC MBARALI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA CHIMALA

    March 14, 2025
  • KIKAO CHA DCC KUPENDEKEZA MAJINA YA MAJIMBO WILAYANI MBARALI

    March 13, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.