• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mifugo na Uvuvi

MAJUKUMU YA IDARA YA MIFUGO NA UVUVI

Idara ya Mifugo na Uvuvi ni miongoni mwa Idara 13 na vitengo 6 vya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali. Idara hii imegawanyika katika vitengo vidogo viwili ambavyo ni;

  • Kitengo cha Mifugo
  • Kitengo cha Uvuvi
  • UTANGULIZI: 
  • Wataalam wa Mifugo na Uvuvi watawajibika kutumia muda mwingi wa kazi kuwahudumia wafugaji na wadau kwa ufanisi mkubwa.
  • wajibu wa msingi wa Idara ya Mifugo na Uvuvi utakuwa ni kuwezesha usambazaji wa huduma za ugani kwa kuzingatia matokeo ya kitafiti yaliyothibitishwa katika mazingira na uwezo wa kusimamiwa na wafugaji. 
  • Kutoa maelekezo ya kitaalamu kwa wakati kwa wafugaji na jamii ya wafugaji kwa kuwatumia wataalam waliopo na watoa huduma za ugani wa Taasisi zisizo za kiserkali na wa sekta binafsi.
  • Itahakikisha kuwa teknolojia zilizoandaliwa na kuthibitishwa zinawafikia makundi lengwa kwa kutumia mfumo sahihi na bayana.

  • 1. MAJUKUMU YA IDARA
  • Kuwezesha utoaji wa na usambazaji wa mbinu za ufugaji bora wa mifugo na samaki zilizothibitishwa zinazotokana na matokeo ya tafiti zinazozingatia  hali halisi ya matumizi katika ngazi ya mfugaji.
  • Kuhakikisha utoaji kwa wakati na usahihi wa mbinu za ufugaji bora kupitia kwa wataalamu wa ugani na watoa huduma wengine wa huduma za ugani
  • Kutoa tafsiri ya será, miongozo, sheria, kanuni za taifa za Sekta ya Mifugo na Uvuvi zinazolingana na hali halisi ya sekta ya mifugo na uvuvi na será nyingine katika Halmashauri ya Wilaya.
  • Kuandaa mpango wa maendeleo wa sekta ya Kilimo na Mifugo (DADPS) utakaotatua mahitaji na changamoto zinazowakabili wafugaji wa mifugo na samaki kwa kutumia mfumo wa fursa na vikwazo unaowahusisha walengwa moja kwa moja.
  • Kuandaa mwongozo wa usambazaji wa teknolojia kutokana na matokeo ya tafiti kwa vikundi  vya wafugaji wilayani.
  • Kuchochea na kuendeleza ushirikiano wa Halmashauri, taasisi na wakala zinazojihusisha na masuala baina ya sekta Mbalimbali na masuala mtambuka (cross-sectoral and cross cutting issues) wilayani yakiwemo; masuala ya jinsia, maliasili, mazingira na wakala wa mkoa wa masuala ya ukimwi na virusi vya ukimwi  na kuyaingizwa katika mipango kazi ya maendeleo endelevu ya sekta ya mifugo na uvuvi.
  • Kufanya tathmini na kutambua mahitaji, upatikanaji, usambazaji na uendeshaji wa shughuli za Sekta ya mifugo na uvuvi.
  • Kuandaa taarifa za maendeleo ya sekta  ya mifugo na uvuvi
  • Kusimamia uendelezaji wa nyanda za malisho
  • Kuwezesha, kuratibu na kusimamia utoaji wa huduma za afya ya mifugo
  • Kuratibu, kukusanya , kuchambua, kutafsiri  na kuhifadhi takwimu mbalimbali za sekta ya mifugo na uvuvi zikiwemo zile za kiuchumi.
  • Kusimamia na kuratibu mikakati ya kuongeza tija na uzalishaji ikiwemo uendelezaji wa koosafu (vizazi) za  mifugo na samaki zinazopendekezwa na wataalamu.
  • Kuandaa hadidu za rejea (Terms of Reference) za mafunzo kwa vikundi vya wafugaji wa mifugo na samaki.
  • Kusimamia maendeleo ya sekta ya Ngozi wilayani
  • Kusimamia uendeshaji wa minada na ukaguzi wa afya ya mifugo na mazao yake
  • Kuratibu na kuendesha doria za udhibiti wa uvuvi haramu, ukaguzi na usafirishaji wa mifugo na samaki na mazao yatokanayo na mifugo na uvuvi kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizizopo.
  •  
  • MUUNDO WA IDARA
  • Idara inaongozwa na Mkuu wa Idara ambaye ni Afisa Mifugo na uvuvi Wilaya
  • Idara ina vitengo viwili ambavyo ni;
  • Kitengo cha Mifugo
  • kitengo cha uvuvi
  •  
  • KITENGO CHA MIFUGO: 
  • Ngazi ya wilaya;
  • Afisa Mahsusi wa Huduma za ugani wa mifugo
  • Daktari wa mifugo anayeshughulikia Huduma za tiba na kinga za mifugo
  • Afisa anayeshughulikia Usimamizi na uendelezaji wa nyanda za malisho
  • Afisa Mahsusi wa Usimamizi na uendelezaji sekta ya maziwa
  • Afisa anayehusika na Usimamizi na uendelezaji wa wanyama wadogowadogo ; mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, simbilisi (small stocks)
  • Afisa ukaguzi na usafi wa nyama
  • Mtakwimu wa Idara- Usimamizi wa ukusanyaji na uhifadhi wa kumbukumbu,  utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa takwimu za mifugo
  • KITENGO CHA UVUVI
  • Mkuu wa Kitengo: Afisa Uvuvi Wilaya.
  • Afisa anayehusika utoaji wa leseni na  kusimamia wa sheria, miongozo na kanuni
  • Afisa Mahsusi anayehusika na doria na hifadhi ya maeneo ya asili ya mazalia ya samaki (natural fish breeding sites)
  • Afisa Mahsusi anayehusika na kusimamia shughuli za uzalishaji wa samaki katika mabwawa ya kuchimbwa na vyanzo vya maji vya asili.
  • NGAZI YA KATA:
  • Afisa Ugani wa Mifugo wa Kata.
  • NGAZI YA KIJIJI: 
  • Afisa Ugani wa Mifugo wa Kijiji.
    • Kipengele
    DLFDO-Afisa Mifugo na Uvuvi Wilaya
    Daktari wa Mifugo wa Wilaya
    Mtaalamu Mahsusi wa uendelezaji wa sekta ndogo ya Maziwa
    Afisa Mahsusi wa Wanyama wadogowadogo- Mbuzi, Kondoo, Nguruwe, Kuku n.k
    • Aisa ngozi Wilaya
    Msimamizi wa Nyanda za Malisho Wilaya
    Afisa Takwimu, Utambuzi, Usajili, na Ufuatiliaji wa Mifugo
    Afisa Minada wa Wilaya.
    Kitengo cha Uvuvi
    WAGANI
    JUMLA
    • Wilaya
    1
    0
    1
    1
    1
    1
    1
    1
    1

    8
    • Kata

    • -








    1
    • Kijiji










    1

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SALAMU ZA EID EL FITR

    March 31, 2025
  • DC MBARALI AANDAA HAFLA YA IFTALI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE,TASISI ZOTE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU..

    March 28, 2025
  • DC MBARALI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA CHIMALA

    March 14, 2025
  • KIKAO CHA DCC KUPENDEKEZA MAJINA YA MAJIMBO WILAYANI MBARALI

    March 13, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.