• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Baada ya Miezi 8 tutaanza kupata huduma kwenye Hospitali yetu Mpya ya Wilaya- Mfune

Tarehe ya Kuanza: January 24th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Mhe. Reuben Mfune ameujulisha umma wa wana Mbarali kuwa, Hospitali Mpya ya Wilaya ambayo ipo katika Kata ya Lugelele  ujenzi wake utaanza rasmi  kuanzia jumanne ya  tarehe 29/01/2019 na huduma itaanza kutolewa baada ya miezi 6 mpaka 8 kuanzia sasa.

Mhe. Mfune ameyasema hayo tarehe 24/01/2019 siku ya Uzinduzi wa upandaji miti Kiwilaya ambapo uzinduzi huo kiwilaya ulifanyika katika Kitongoji cha Mpunga Relini kilichopo kata ya Lugelele eneo ambalo hospitali Mpya ya Wilaya inajengwa.

“Katika kipindi hiki cha mvua tuendelea kuhamasisha wananchi kupanda miti, maeneo mengi yanayoendelea na ujenzi katika wilaya yetu hayana miti, ni lazima tuendelee kupanda miti kwenye maeneo yetu.”

“Tukiendelea kuotesha miti tuoteshe miti yenye faida zaidi moja kwa mfano mikorosho na miti ya matunda badala ya kuotesha mijohoro. Matokeo ya uoteshaji miti hii tutaanza kuyaona ndani ya miaka 5.”

Mhe. Mfune pia alisisitiza Halmashauri kujipanga vizuri kwa kushirikiana na wadau ili mwaka 2020 ipandwe miti 1,500,000 ambalo ndio lengo la Kitaifa kwa kila wilaya

Naye Afisa Misitu na Maliasili  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Charles Patrick Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji alisema kuwa, kwa mwaka uliopita 2018 Wilaya ya Mbarali ilifanikiwa kupanda miti takribani 560,000 katika maendeo mbalimbali ikiwemo kwenye vyanzo vya maji, kandokando ya misitu ya hifadhi ya vijiji, maeneo ya makazi, mashambani na kwenye maeneo ya malisho.

Aliongeza kuwa changamoto wanazokumbananazo katika zoezi la upandaji miti ni pamoja na mwamko mdogo kwa jamii juu ya suala la upandaji miti, uhaba wa mvua, uchomaji moto hovyo pamoja na uchungaji holela wa mifugo. 

kwa mwaka huu wilaya inampango wa kupanda miti takribani  750,000 katika maeneo mbalimbali zikiwemo taasisi za umma, binafsi makazi na kwenye vyanzo vya maji, na hadi kufikia sasa tayari kuna miti takribani 1,000 imeshapandwa kwenye maeneo mbalimbali.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.