• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Baraza la Madiwani Lapitisha Bajeti Bilion 39.3

Tarehe ya Kuanza: January 29th, 2019

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, limepitia na kupitisha mapendekezo ya mpango wa Bajeti kiasi cha tshs 39,343,914,585.49 kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kutoka vyanzo mbalimbali vya Mapato siku ya tarehe 29/01/2019.

Mapato kutoka Serikali Kuu na Wadau wa Maendeleo ni tshs 35,230,064,585.49 Mapato kutoka vyanzo vya ndani ni tshs 4,113,850,000.00. 

Kati ya fedha hizo, kiasi cha tshs 28,441,960,660.00 ni Mishahara, tshs 5,005,592,925.49 ni matumizi ya kawaida na tshs 5,896,361,000.00 kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo.

Mpango wa Miaka Mitatu na Makisio ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2019/2020 umeandaliwa kwa kuzingatia, Mwongozo wa Maandalizi ya Bajeti ya mwaka 2019/2020 uliotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango.

Vipaumbele vya Serikali ya awamu ya tano, Maagizo ya Viongozi wa Kitaifa, Mpango wa Maendeleo wa miaka mitano 2016/2017- 2020/2021, Mpango Mkakati wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR- TAMISEMI), Mpango Mkakati wa Halmashauri wa mwaka 2018/2019- mwaka 2022/2023  Mpango Mkakati wa Lishe wa Taifa wa Mwaka 2016/2017- 2020/2021, Sheria ya Bajeti Na. 11 ya mwaka 2015 na Kanuni zake,

Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015, Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo Endelevu 2030, Mapitio ya Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2018/2019, Vipaumbele vya wananchi wa Wilaya ya Mbarali kupitia Mfumo ulioboreshwa wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (Improved Opportunities and Obstacles to Development- O&OD)

Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali katika Bajeti yake ya mwaka 2019/2020 itajikita katika Kuwezesha uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019, Ujenzi/Ukamilishaji wa zahanati katika Vijiji, Ujenzi/Ukamilishaji wa Vituo vya Afya katika Kata, Ujenzi/Ukamilishaji wa vyumba vya madarasa katika Shule za Msingi na Sekondari, Kuwezesha upatikanaji wa Madawati kwa Shule za Msingi na Sekondari,

Kuboresha miundombinu ya katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya na Elimu, Kuboresha Lishe kwa watoto, Ulipaji wa madeni mbalimbali, Kuendelea kupambana na Maambukizi ya VVU/UKIMWI, Kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Uchumi wa Viwanda, Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi (Climate Change) pamoja na kutambua jitihada za Jamii katika Kukabiliana na Mabadiliko hayo,

Kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri kwa kuboresha vyanzo vya mapato vilivyopo pamoja na kubuni vyanzo vipya, Kuboresha miundombinu ya kijamii na kiuchumi hususani katika sekta ya elimu, maji, afya, kilimo, mifugo, uvuvi na barabara kwa kuzingatia ubora wa kitaifa.

Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2018/2019 Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali iliidhinisha Matumizi ya kiasi cha tsh 50,144,125,368.98 kati ya hizo tshs 45,232,773,368.93 ni Mapato kutoka Serikali Kuu na wadau wa maendeleo, tshs 4,911,352,000.00. ni mapato kutoka vyanzo vya ndani.

Kati ya fedha hizo, kiasi cha tshs ni Mishahara, tshs 10,246,289,619.52 kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo na tshs 5,996,942,749.46 ni matumizi ya kawaida.

kati ya Fedha hizo, kiasi cha tshs 33,900,893,000.00 ni mishahara, tshs 10,246,289,619.52 kwa ajili ya miradi ya maendeleo na tshs 5,996,942,749.46 ni Matumizi ya kawaida.

Hadi kufikia Disemba, 2018 jumla ya tshs 17,975,140,140.01 zilipokelewa, sawa na asilimia 14.13 ya fedha zilizoidhinishwa 2018/2019.

Daudi B. Nyingo

Afisa Habari

Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

29/01/2019

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.