• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Billion 1.5 Kukamilisha Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Mbarali

Tarehe ya Kuanza: July 25th, 2018

“Kwa mwaka huu wa fedha 2018/2019, TAMISEMI chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya 5 Mhe. Dr. John Pombe Magufuli, tunajenga hospitali 67 mpya za Wilaya, na kwa Wilaya ya Mbarali tumetenga kiasi cha shilingi 1.5 bilioni ili ziweze kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ili wananchi waanze kupata huduma”

Hayo yamesemwa na Naibu Wazizi wa TAMISEMI (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa)  Mhe. Jeseph Kakunda alipofanya ziara katika Wilaya ya Mbarali kwa ajili ya Kukagua shuguri za Maendeleo zinazosimamiwa na Wizara yake siku ya tarehe 24/07/2018.

Akiwa katika Wilaya ya Mbarali, Mhe Naibu Waziri aliweza Kutembelea Miradi 3 ya maendeleo ambayo inayotekelezwa katika Wilaya ya Mbarali ambayo ni pamoja na Mradi wa Barabara  unayosimamiwa na Wakala wa Baralbara Vijijini na Mijini (TARURA) uliopo Kata ya Utengule Usangu, Ukarabati wa Kituo cha Afya Utengule Usangu pamoja na Kukagua ujenzi wa mabweni mawili na madarasa manne  katika sekondari ya Rujewa iliyopo Kata ya Rujewa.

Mhe. Kakunda amepongenga shughuli inayoendelea ya ujenzi na uboreshwaji  wa kituo cha Afya Utengule Usangu na amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kuandika barua TAMISEMI ili kuomba fedha za kuweza kumalizia Majengo yaliyobaki likiwemo jengo la wangonjwa wa njee (IPD).

“Naamini Mradi huu utakuwa ni ukombozi mkubwa sana kwa wananchi wa hapa, huduma zitakazotolewa hapa, sio sawa na huduma mlizokuwa mnazipata zamani. Mwaka huu tunajenga Vituo vya afya zaidi ya 95, na tunataka mpaka kufikia mwaka 2022 tuwe tumejenga Vituo vya afya 1000 kwani lengu kuu la Serikali ni kila kata iwe na kituo cha afya kama hiki.”

Akiwa katika shule ya Sekondari Rujewa, Mhe. Kakunda amepongeza ujenzi wa mabweni mawili na madarasa manne na akaongeza kuwa kwa mwaka huu wa fedha 2018/2019 Serikali imetenga kiasi cha shilingi Milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa Bwalo la Chakula na Maktaba ya Kusomea.

Kuhusiana na madai ya walimu alisema kwamba, Mhe. Dr. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alishaagiza madai yote ya walimu yalipwe, na hadi kufikia sasa madai hayo yanalipwa kwa awamu tofauti tofauti.

Kuhusiana na mradi wa barabara, Mhe. Kakunda alipongeza juhudi za usimamizi zinazofanywa na Wakala wa Barabara Vijiji na Mijini (TARURA) kuwa ni wa kuridhisha, kwani barabara zimejengwa kwa kiwango kinachotakiwa.

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune, amemshukuru Mhe. Kakunda kwa kufanya ziara katika Wilaya ya Mbarali ili kuja kujionea shughuri za Maendeleo zinazoendelea katika Wilaya yake.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbarali amemuahidi Mhe. Naibu Waziri kuandika barua TAMISEMI kuomba fedha za kukamilisha ujenzi wa Majengo ya liyobaki katika kituo cha afya Utengule Usangu vilevile ameahidi kuwa, hadi ifikapo tarehe 31/08/2018 majengo matano kati ya Majengo sita yanayoendelea kujengwa katika kituo cha afya Utengule Usangu yatakuwa yamekamilika.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SALAMU ZA EID EL FITR

    March 31, 2025
  • DC MBARALI AANDAA HAFLA YA IFTALI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE,TASISI ZOTE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU..

    March 28, 2025
  • DC MBARALI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA CHIMALA

    March 14, 2025
  • KIKAO CHA DCC KUPENDEKEZA MAJINA YA MAJIMBO WILAYANI MBARALI

    March 13, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.