• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC Akemea Visingizio Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa, Zahanati

Tarehe ya Kuanza: October 29th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amekataa sababu au visingizio vinavyotolewa na viongozi wa kata pamoja na vijiji kuhusiana na zoezi la ujenzi wa vyumba vya madarasa pamoja na zahanati wilayani Mbarali.

Mhe. Mfune amekemea visingizio hivyo alipokuwa kwenye mwendelezo wa ziara zake katika kata za Lugelele na Mapogoro siku ya tarehe 29/10/2018 kwa ajili ya kufuatilia maagizo aliyoyatoa kwa viongozi wa kata na vijiji  kuhusiana na ujenzi wa vyumba vya madarasa, Ujenzi wa zahanati, ujenzi wa vyoo, masuala ya lishe pamoja na uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5.

Katika ziara hiyo Mhe. Mfune amekemea sababu zinazotolewa na viongozi hao kama, “tumepanga, tunamkakati, tutatekeleza pamoja na nyingine zinazofanana na hizo” kwani zinasababisha kazi za maendeleo kutofanyika kwa wakati, anachokitaka yeye ni kuona maagizo aliyoyatoa yanafanyiwa kazi kwa vitendo ili wananchi waweze kupata huduma wakiwemo wanafunzi wa kidato cha kwanza wanaotarajiwa kuanza masomo ifikapo Januari 2019.

“nikija awamu ya pili sitaki kusikia neno changamoto wala visingizio vya utekelezaji wa maagizo niliyoyatoa, changamoto ni zenu wenyewe mnaweza kuzitatua, wale ambao hawajaanza ujenzi wa vyumba vya madarasa pamoja na zahanati, nitakuja mwezi wa 11 mwishoni kukagua hatua za ujenzi zilipofikia”

Kuhusiana na masuala ya lishe pamoja na uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano, Mkuu wa Wilaya ameendelea kusisitiza kuwa, elimu iendelee kutolewa kwenye mikutano ya hadhara inayoeleza umuhimu wa kuandikishwa watoto pamoja na masuala ya lishe kwani vitu hivi ni endelevu na elimu inatakiwa kuendelea kutolewa mara kwa mara.

“Tuendelee kuhamasisha sehemu zenye watoto wadogo wapate vyeti vya kuzaliwa kwani vina faida kwa maisha ya baadae, vyeti vya kuzaliwa vinatolewa bure kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5”

Vilevile Mhe. Mfune ameendelea kuhamasisha watu kujenga vyoo bora na ifikapo tarehe 01/12/2018 hataki kusikia kuna kaya yeyote wilayani hapa haina choo kwani suala hilo halikubaliki popote.

“Pambaneni na wale ambao hawana vyoo wajenge kwa nguvu, kama una nyumba ya kuishi, unashindwaje kujenga choo!, tunachokihitaji ni kuepukana na magonjwa ya milipuko kama kipindupindu na kuhara”

Mwisho

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.