• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC Atoa Maelekezo Kumaliza Mgogoro wa Wafugaji na Hifadhi ya Taifa Ruaha

Tarehe ya Kuanza: March 27th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amewataka wafugaji wote wa Wilaya ya Mbarali pamoja na uongozi wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (RUNAPA) kumaliza mivutano iliyopo baina yao kuhusiana na mifugo kukamatwa ikidaiwa ipo ndani ya Mpaka wa Hifadhi.

Mhe. Mfune ameyasema hayo siku ya jumanne ya tarehe 26/03/2019 alipoitisha kikao cha pamoja Kati ya Viongozi wa Wafugaji, Wafugaji wanaopakana na hifadhi, Viongozi wa RUNAPA, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbarali, Waheshimiwa Madiwani, Watendaji wa Kata na baadhi ya Wataalam wa Halmashauri  katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya.

 “Inaonyesha wengi wetu hapa hatuujui vizuri mpaka wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, nasitisha kwa muda zoezi la ukamataji mifugo kuanzi siku ya jumanne ya tarehe 26/03/2019 hadi siku ya jumatatu ya tarehe 01/04/2019 kwa lengo la kwenda kuoneshana mpaka. Nawaombemi wafugaji msitumie fursa hii vibaya kupeleka mifugo ndani ya Hifadhi”

“Tutashiriki wote, wakiwemo Waheshimiwa Madiwani, Watendaji wa Kata na Vijiji husika, viongozi wa wafugaji, wafugaji wa maeneo hayo, viongozi wa RUNAPA pamoja na Askari wao, mimi mwenyewe,  Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya pamoja na baadhi ya Wataalamu.”* Alisema 

Mkuu wa Wilaya aliongeza kuwa mara baada ya kuonyeshana mipaka, yeyote atakaebainika kukiuka makubaliano hayo atachukuliwa  hatua kali za kisheria ili kukomesha tabia ya kuingiza mifugo hifadhini.

“Hili litakuwa ni suluhisho la muda tukiwa tunasubili utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli  la kubadilisha sheria ili kupata suluhisho la kudumu.“

Mhe. Mfune aliongeza kuwa misingi wa kuongeza Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (RUNAPA) sio kwa ajili ya wanyama,  bali ni kwa ajili ya uhifadhi wa maji yanayokwenda hifadhini pamoja na kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme ya Mtera, Kidatu na sasa Rufiji.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbarali Ndg. Hashimu Msese Mwalyawa alisema kuwa busara itumike katika kutatua mgogoro uliopo kati ya wafugaji na RUNAPA kwani pande zote mbili zinatakiwa kutatua matatizo yao na sio kuviziana. Vilevile ameuomba uongozi wa RUNAPA kuchimba malambo ya kunyweshea mifugo ili kuendelea kutatua ugomvi wa maji uliopo.

Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao hicho walisema kuwa, kuna baadhi ya wafugaji ni wakorofi na wanakwenda kuchungia mifugo yao ndani ya hifadhi na pia kuna baadhi ya wafugaji sio wakorofi. Vilevile hata kwa upande wa Askari wa RUNAPA kuna baadhi yao wanasema ukweli na wengine hawasemi ukweli pindi wanapokamata mifugo.

Wajumbe walifurahia ufumbuzi huo wa muda wa utambuzi wa mpaka ambao utaanza kutekelezwa kuanzia tarehe 02/04/2019 na utafanyika kwa muda siku tatu.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.