• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC ATOA SIKU 5 KUKAMILIKA UJENZI WA BANIO LA MTO MAMBI

Tarehe ya Kuanza: January 9th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Mhe. Reuben Mfune, ametoa siku tano kwa uongozi wa chama cha umwagiliaji cha wakulima Magurula kukamilisha ujenzi wa milango ya Banio la Skimu ya Umwagiliaji ya Magurula Luhanga (MALU) unaojengwa katika Mto Mambi uliopo Kata ya Utengule Usangu.

Ameyasema hayo alipokwenda kusikiliza malalamiko ya wananchi yaliyotolewa kwa uongozi wa skimu hiyo kuhusiana na ujenzi wa Banio siku ya tarehe 09/01/2019.

“Kufikia jumatatu ya tarehe 14/02/2019 mageti yote ya kugawa maji yawe yameshakamilika, nitatuma timu yangu kuja kukagua siku ya jumanne ya tarehe 15/01/2019 na baada ya matokeo ya geti nami nitakuja siku ya alhamisi ijayo kujionea hali halisi pamoja na kufanya maamuzi kama tunavunja au tutaendelea na hali hii.”

Naye Diwani wa Kata ya Utengule Usangu Mhe.Samora Msonsa amemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kuja kutatua mgogoro huo na maamuzi aliyoyafanya.

Banio la Skimu aya Umwagiliaji ya Magurula-Luhanga (MALU) inamilikiwa na na chama cha wakulima wa umwagiliaji Magurula. Skimu hii ina jumla ya Ekali 746 na inahudumia vijiji viwili, kijiji cha Magurula kilichopo kata ya Utengule Usangu na Kijiji cha Luhanga kilichopo ndani ya kata ya Luhanga.

Ujenzi wa Banio la Skimu ya Umwagiliaji ya Magurula-Luhanga (MALU), ulianza ujenzi tarehe 15/12/2018 na unatarajia kukamilika tarehe 15/01/2019 kwa gharama ya tsh milioni 7.7 ambapo gharama za ujenzi ni milioni 6.8 na gharalama za usajili ni laki 9 ambapo fedha hizo zinatolewa na wakulima wenyewe.

Ujenzi wa Banio unasimamiwa na Mhandisi wa Umwagiliaji Wilaya ya Mbarali chini ya idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SALAMU ZA EID EL FITR

    March 31, 2025
  • DC MBARALI AANDAA HAFLA YA IFTALI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE,TASISI ZOTE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU..

    March 28, 2025
  • DC MBARALI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA CHIMALA

    March 14, 2025
  • KIKAO CHA DCC KUPENDEKEZA MAJINA YA MAJIMBO WILAYANI MBARALI

    March 13, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.