• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC MBARALI AKABIDHI MILIONI 100 KUWAWEZESHA WANAWAKE, VIJANA, KUNDI MAALUMU

Tarehe ya Kuanza: January 7th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amekabidhi julmla yashilingi million 100 kwa vikundi vya Wanawake vijana na Kundi maalumu siku yajumatatu ya tarehe 07/01/2019  ambapo fedha hizo zimetolewa kama mkopo kwaajili ya kuviwezesha vikundi hivyo.

Jumla ya vikundi 28 vimeweza kukopeshwa fedha hizo ambapovikundi 7 vya wanawake vimeweza kukopeshwa kiasi cha Tsh. milioni 38, vikundi 9vya vijana vimeweza kukopeshwa kiasi cha Tsh. million 50 na vikundi maalumu 12vimeweza kukopeshwa kiasi cha Tsh. milioni 12 na kuleta jumla ya fedhazilizotolewa kufikia million 100.

Fedha hizo ni sehemu ya asilimia 10 ya mapato ya ndani yaHalmashauri ya Wilaya ya Mbarali kwa mwaka wa fedha wa serikari 2018/2019ambazo hutolewa kila mwaka.

Mhe. Mfune alisema kwamba, Mkopo huu hauna Riba na haujatolewakama sadaka, Serikali imezitoa kwenye vikundi na zinatakiwa kurejeshwa iliziweze kutumika kuvikopesha vikundi vingine.

“Leotumepewa fedha za mkopo sambamba na kupewa mafunzo ili tuwe na ujuzi wa kutoshatujue tunafanya kitu gani. Wataalamuwawe wanatembelea makundi ili kujua maendeleo yao na kutatua matatizo sambambana kufuatilia marejesho. Nitafurahi nikitembelea shughuli zenu nikute mmepigahatua”

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali NdgKivuma Msangi alisema kuwa hadi sasa hajapokewa maombi ya Mkopo kutoka kwenyekundi lolote la walemavu ili aweze kuviwezesha mkopo.

Aliongeza kuwa hadi sasa Halmashauri imeweza kukusanya kiasi chaTsh. billion 1.7 kati ya Tsh. billion 3.28 ya mapato yake ya ndani, ambapoasilimia 10 zimetengwa kwa ajili ya kuviwezesha vikundi vya Wanawake vijana nawalemavu. Hadi kufikia tarehe 07/01/2019 zimeshatolewa kiasi cha shillingmilioni 100 na kiasi kilichobaki cha Tsh. million 70 zitatolewa muda wowotekuanzia sasa.

Kwa mwaka wa Fedha 2018/2019, Serikali inatarajia kuviwezeshavikundi vya wanawake, vijana na walemavu kiasi cha Tsh. Million 328 ambazo niasilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.

Kwa mwaka wa fedha uliopita wa 2016/2017 Halmashauri iliwezakutoa asilimia 100 ya ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya kuviwezesha vikundivya Wanawake na Vijana Kutoka kwenye mapato yake yote ya ndani na Mwaka waFedha 2017/2018 Halmashauri iliweza kutoa asilimia 95 ya ya fedha zilizotengwakwa ajili ya kuviwezesha vikundi vya Wanawake na Vijana Kutoka kwenye mapatoyake yote ya ndani.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.