• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC Mbarali Awataka Wajasiliamali Wadogowadogo Kutembea Kifua Mbele.

Tarehe ya Kuanza: January 2nd, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune, amewataka wajasiliamali wote wadogowadogo ambao watapatiwa vitambulisho vya utambuzi vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr John Pombe Magufuli Kutembea kifua mbele bila ya kuwa na hofu yoyote watakapokuwa wanafanya biashara zao.

Ameyasema hayo alipokuwa kwenye uzinduzi wa vitambulisho hivyo  siku ya jumanne ya tarehe 02/01/2019 alipokuwa akizindua pamoja na kugawa vitambulisho kwa wajasiliamali (wafanyabiashara) wadogoadogo katika ukumbi wa polisi ulipo Kata ya Rujewa wilayani Mbarali.

Akizindua ugawaji wa vitambulisho hivyo, Mhe. Mfune amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr John Pombe Magufuli kwa kuwajali wajasiliamali wadogowadogo ambao mauzo ghafi yao hayazidi kiasi cha shilingi milioni 4 kwa mwaka kwa kuona kuwa wana haki ya kufanya shughuli zao bila ya kusumbuliwa.

“Ukishajaza fomu na kuchukua kitambulisho wakati hauna sifa, mkono wa sheria utakukuta, kitambulisho hiki sio kinga ya kuvunja sheria zingine zilizopo, tufanye kazi kwa kufuata sheria, kitambulisho hiki ni kwa ajili ya utambuzi, hatutegemei baada ya miaka 3 utabaki kama ulivyo, fanya kazi kwa bidii timiza malengo, kesho ukue ifike kipindi uwe unalipa kodi kwa ajili ya maendeleo.”

“Tutaweka utaratibu mzuri kwa mujibu wa ratiba ili viweze kutolewa kwenye maeneo yetu tunayoishi, leo tunafanya uzinduzi, sio siku ya mwisho, zoezi hili ni endelevu na siku ya mwisho kugawa tutawajulisha. kitambulisho hiki ni kwa ajili ya kuto lipa kodi za sekta rasmi kama TRA, Leseni na nyinginezo” alisema Mhe. Mfune

Akizungumza katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbarali Ndg. Hashimu Mwalihawa alisema kuwa, lengo la Mhe. Rais ni kuwasaidia wanyonge ambao ni wafanyabiashara wadogowadogo, kila mtu kwa nafasi yake amsaidie Mhe. Rais kama ni kweli wale watakaochukua vitambulisho wamefuata vigezo vilivyowekwa.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma H. Msangi alisema kuwa, yeye na timu yake wamejipanga kuhakikisha kunakuwa na kituo katika kila kijiji ili wajasiliamali wasisumbuke kuvitafuta, na wale wote waliohudhuria uzinduzi watapatiwa vitambulisho vyao leo kama watakuwa wamekidhi vigezo.

Sifa za kupewa vitambulisho vya wafanyabiashara wadogowadogo ni pamoja na, mauzo Ghafi yao yasizidi kiasi cha shilingi milioni 4 kwa mwaka yaani shilingi elfu 12 kwa siku, uwe haujasajiliwa na TRA yaani kupata namba ya mlipa kodi (TIN NAMBA), Vitambulisho hivyo vitatolewa kwa kulipia kiasi cha shilingi elfu 20 mara baada ya kujaza fomu maalumu ambayo itakuhitaji kuwa mkweli na ukigundulika umefanya undanganyifu ili kujipatia kitambulisho, utachukuliwa hatua kali za kisheria sambamba na kunyang’anywa kitambulisho hicho.

Jumla ya vitambulisho 46 vimetolewa kwenye zoezi la uzinduzi kwa wafanyabiashara wadogo wadogo ambao wamekidhi vigezo. Vitambulisho vingine vitaendelea kutolewa katika ofisi za kata na vijiji kwa utaratibu utakaopangwa

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.