• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MBARALI ATULIZA MGOMO WA WATUMISHI HOSPITALI YA CHIMALA MISSION

Tarehe ya Kuanza: August 25th, 2025

DED MBARALI ATULIZA MGOMO WA WATUMISHI HOSPITALI YA CHIMALA MISSION


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli ametembelea Hospitali ya Chimala Mission siku ya leo Agosti 25, 2025 baada ya Watumishi wa Hospitali hiyo kutishia kuitisha mgomo kutokana na madai ya uongozi mbovu wa Hospitali hiyo.  Aidha Mkurugenzi amesema kunapokuwa na changamoto kwenye taasisi yoyote basi ni changamoto ya uongozi.


"Kunapokuwa na changamoto ndani ya Taasisi fulani maana yake kwa namna moja ama nyingine umepeleka changamoto hizo kuwepo" pia Mkurugenzi amesema

" Lazima Muundo wa uongozi utazamwe upya" .


 Mbali na kutoa maelekezo hayo, Mkurugenzi amesema anaunda tume maalumu ya kuchunguza madai ya Watumishi hao na kuipa siku sabau tume iwe imekamilisha uchunnguzi wa madai hayo.


Kwa upande wa Watumishi hao, wamesema chanzo cha migogoro hiyo ni uongozi mbovu wa Hospitali hiyo ambayo haiwajali watumishi na kujiona wao ni 'super power' na ndio maana hata kwenye kikao hicho viongozi hao hawajaonekana


" ni watu wanaojiona wao ni super power" ndio maana hata waliposikia Mkurugenzi anakuja hawajaja.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DED MBARALI ATULIZA MGOMO WA WATUMISHI HOSPITALI YA CHIMALA MISSION

    August 25, 2025
  • WANANCHI WA IGAWA WAPISHA BOMBA LA MAJI, WAPEWA FIDIA

    August 21, 2025
  • MAWASILIANO YA WAKUU WA IDARA

    August 19, 2025
  • UCHUKUAJI WA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBARALI

    August 14, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.