• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Hospitali Mpya ya Wilaya Kukamilika ifikapo Septemba 2019- Msangi

Tarehe ya Kuanza: April 2nd, 2019

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma Msangi alipofanya ziara akiwa na Timu ya Wataalamu ya Halmashauri (CMT) kwa ajili ya kukagua ujenzi wa Hospitali Mpya ya Wilaya siku ya tarehe 02/04/2019 katika kata ya Lugelele, kitongoji cha Mpunga Mmoja sehemu inapojengwa Hospitali hiyo.

Msangi alisema kwamba Hospitali Mpya ya Wilaya inatarajiwa kukamilika ifikapo Mwezi wa Tisa mwaka huu 2019, na kukamilika kwa hospitali hii kutaongeza upatikanaji wa huduma za afya za kisasa na katika mazingira bora sambamba na hayo pia  itakuza uchumi wa mwananchi mmoja mmoja kwani kutapanua fursa nyingi za ajira, biashara wakiwemo mama lishe, bodaboda, bajaji, nyumba za kulala wageni, nyumba za kupangingisha na nyinginezo nyingi.

Akisoma taarifa ya ujenzi wa Hospitali hiyo Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali  Eng. Abbas Kitalima alisema kuwa, katika awamu hii ya kwanza wamepokea  jumla ya shilingi Bilion moja na Milioni mia tano (1,500,000,000/=) ambayo itakamilisha ujenzi wa majengo saba mapya sambamba na umaliziwaji wa jengo la ghorofa moja ambalo litatumika kwa shughuli za utawala pamoja na kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje (OPD) hivyo kufanya jumla ya majengo tisa.

Eng. Kitalima aliongeza kuwa kwa sasa ujenzi wa majengo hayo yote yapo katika hatua mbalimbali za ujenzi na yanatarajiwa kukamilika ifikapo Septemba 2019.

Timu ya Wataalamu iliweza kutembelea na kukagua ujenzi wa majengo yote  yanayoendelea kujengwa na imeridhishwa na hatua iliyofikia hadi sasa. wamemtaka Mkuu wa Idara ya Ujenzi pamoja na Kamati mbalimbali zilizoundwa kwa ajili ya usimamizi kuongeza kasi ya usimamizi ili wananchi waanze kupata huduma na kuhakikisha ubora wa majengo unazingatiwa.

Majengo mapya yanayojengwa mpaka sasa ni pamoja na Wodi Wazazi (Maternity Word), Jengo la Maabara, Jengo la Mashine za Mionzi (X-Ray), Jengo la Dawa za Chanjo, Jengo la Kufulia Nguo, Jengo la Ghala la Madawa, Jengo la Mifumo ya Umeme (Power House) pamoja na ukarabati wa jengo la ghorofa moja ambalo litatumika kwa ajili ya wagonjwa wa nje pamoja na shughuli za utawala.

MWISHO.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.