• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Iwe mwisho!msizoee tabia hii maana mbunge leo anatoa ipo siku hatotoa- Makamu wa Rais

Tarehe ya Kuanza: July 31st, 2018


MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wakazi wilayani Mbarali mkoani Mbeya kuacha tabia ya utegemezi ya kuchukua mikopo na kutolipa wakisubiri neema ya kusamehewa au kulipiwa na watu wengine.

Mhe. Suluhu aliyasema hayo alipofanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Kapunga kata ya Itamboleo baada ya mbunge wa jimbo hilo Phil Mohamed kutangaza uamuzi wa kujitwisha mzigo wa kulipa deni la shilingi milioni 800 wanazodaiwa baadhi wakulima 334 wakazi wa Wilaya ya Mbarali walipokopa Powertiller benki.

Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe Haroon Pilmohamed alisema wakulima hao walishindwa kulipa deni hilo ambalo awali Serikali za vijiji ndizo ziliwadhamini na sasa kumekuwa ne kero ya kuwadai na kusababisha baadhi yao kukimbia nyumba zao.

Kufuatia hali hiyo, Makamu wa Rais alimpongeza Mbunge huyo kwa moyo wa kujitolea lakini akaonya iwe mara ya mwisho kwa wananchi kukopa na kusubiri mserereko wa kulipiwa.

“Iwe mwisho!msizoee tabia hii maana mbunge leo anatoa ipo siku hatotoa au ataondoka aje asiyetoa nani atakaye walipia.Acheni utegemez.Mbona Mungu anawaajalaaia kipato mnalima mpunga mnapata kwa nini msilipe.Mnayo miradi mingine pia inawapa vipato.”

“Nawasihi wana kapunga na wana Mbarali mtambue kuwa hii pia mnamchukiza hata Mungu anayewajaalia mnapata mazao mengi.Jifunzeni kujisimamia maana mkiendelea kusubiri kulipiwa itakuja mikopo mingine watu wataogopa kuileta huku kwenu” alisisitiza.

Wakati huo huo makamu wa Rais aliwataka wakazi wilayani Mbarali kutojipendelea wao pekee katika matumizi ya maji ya vyanzo vya mto Ruaha badala yake watambue kuwa zipo pande tatu muhimu zinazotegemea maji hayo.

Alizitaja pande hizo tatu kuwa ni wao wenyewe wakulima, wanyama na ikolojia yote ya hifadhi ya Ruaha na pia uzalishaji wa umeme katika bwawa la Mtera.

“Kabla sijaja na kampeni yangu inayolalamikiwa tulipita kule hifadhini na kujionea wanyama wanavyopata shida.Tembo ndiyo analazimika kuchimba ardhini ili apate maji ya kunywa.Wanyama wengine wadogo wadogo wanalazimika kupanga foleni wakimsubiri achimbe, anywe atosheke akiondoka ndipo na wao wapate nafasi ya kunywa.Lakini baada ya kufukua mifereji na mito mliyokuwa mmeelekeza kwenye mashamba yenu maji yamerudi kule.”

“Tutambue kuwa wanyama hawaongei, kuwa na wao siku moja wataweka mkutano wa hadhara waseme tuleteeni maji. Ni lazima tuwaonee huruma hivyo tusibaki kusema maji yawe kwa kilimo chetu tu.Tukumbuke pia kwa kukosa maji namna tulivyopata shida ya umeme miaka kadhaa iliyopita.Sasa sisi tunasema Tanzania ya uchumi wa viwanda tutawezaje kama tutakosa umeme kwa kuruhusu maji yote yatumike kwa kilimo pekee” alisema.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SALAMU ZA EID EL FITR

    March 31, 2025
  • DC MBARALI AANDAA HAFLA YA IFTALI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE,TASISI ZOTE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU..

    March 28, 2025
  • DC MBARALI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA CHIMALA

    March 14, 2025
  • KIKAO CHA DCC KUPENDEKEZA MAJINA YA MAJIMBO WILAYANI MBARALI

    March 13, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.