• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Jukumu la Kupambana na Corona Sio la DC na Mkurugenzi Pekee, Ni la Kila Mtu-Mfune

Tarehe ya Kuanza: April 28th, 2020

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune alipoitisha kikao kati yake na baadhi ya viongozi wa Serikali wakiwamo Kamati ya Usalama ya Wilaya na Watendaji wa Kata siku ya tarehe 27/04/2020 ofisini kwake kwa ajili ya kujadili taarifa ya kamati ya Ufuatiliaji iliyoundwa na Kamati ya Usalama Wilaya kwa ajili ya mapambano ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa COVID 19.

Mhe Mfune alisema kwamba, kamati iliundwa kwa ajili ya kufuatilia maelekezo yanayotolewa na Viongozi Wakuu wa Nchi, Wizara Mkoa na Wilaya imefanya ufuatiliaji kwenye kata saba na kubaini kuwa kuna baadhi ya Viongozi na Watendaji wa Serikali hawatekelezi vizuri majukumu yao dhidi ya janga la Corona

 “Baadhi ya watendaji wa Serikali, Watendaji wa Kata, Watendaji wa Vijiji, wenyeviti wa vijiji, wenyeviti wa Vitongoji pamoja na Serikali zao hawawajibiki vizuri kutoa maelekezo yanayotolewa na Serikali  dhidi ya  kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona.”

 “Viongozi wote wa Serikali walio chini yangu muendelee kutoa elimu kwa njia mbalimbali kama vipeperusi, kupita kwenye nyumba za ibada, Masoko, minada, magurio, sehemu za starehe kama Bar, Pub na vilabu vya pombe za kienyeji ili kusimamia maagizo niliyoyatoa ya namna ya kujikinga na ugonjwa wa Corona.”

 “Vilevile ni marufuku kwa watendaji wote wa kata na vijiji kutoka kwenye vituo vya kazi bila kupata idhini kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri.”

 Mkuu wa Wilaya ameagiza kufungwa kwa Guest bubu zote zilizopo wilayani hapa na ameagiza kufanyika kwa ukaguzi wa mara kwa mara kwa guest zingine zinazofanya kazi ili kuangalia usahihi wa kumbukumbu zilizopo kwa wageni wa ndani na nje.

Vilevile Mhe. Mfune amepiga marufuku mikusanyiko isiyo ya lazima kama michezo ya Bao, Draft, pool table pamoja na michezo mingine inayokusanya watu wengi. Kuhusiana na misiba ameagiza ihudhuriwe na watu wachache na kwa muda mfupi.  Chakula kiandaliwe kwa watu wa karibu tu pamoja na wana familia na isiwe kwa kila mtu atakaehudhuria.

Vilevile amewataka wahudumu wote kwenye maeneo ya starehe pamoja na madereva wa vyombo vya moto kuvaa Barakoa wakati wa kutoa huduma kwa wateja wao, na Wananchi wote wanatakiwa kuvaa Barakoa wanapokwenda kwenye maeneo yenye misongamano au wanapopanda vyombo vya moto.

Mhe Mfune amewataka Mafundi wanaotengeneza Barakoa za Vitambaa waendelee kutengeneza Barakoa kwa kutumia Vitambaa vya Cotton na Barakoa hizo ziwe na matabaka kuanzia matatu na ziuzwe kwa bei nafuu.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.