• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMPENI YA 27 YA KIJANI MBARALI

Tarehe ya Kuanza: September 26th, 2025

DED MBARALI AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI RUJEWA SEKONDARI

Katika kuadhimisha kampeni ya 27 ya kijani yenye lengo la kuhamasisha upandaji miti kote nchini Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli ameongoza zoezi la upandaji miti kwenye shule ya sekondari Rujewa Wilayani Mbarali

Aidha Mkurugenzi Mweli amewaongoza wanafunzi , waalimu na Ma afisa mazingira na misitu kupanda miti zaidi ya Mia moja kwenye shule hiyo yenye lengo la kutunza mazingira na kupunguza ukame Katika wilaya hii ya Mbarali

akizungumza na vyombo vya habari Ndugu Mweli amesema "Katika wilaya yetu ya Mbarali tunatarajia kupanda miti zaidi ya Milioni moja na nusu na kuanzia hapa tumepanda miti zaidi ya mia moja lakini kimsingi zoezi hili litakuwa ni zoezi endelevu na tutalifanya kuwa shirikishi baina ya Halmashauri na wananchi wetu , wanafunzi wa shule za msingi na sekondari tunaamini katika kupanda miti   tutatunza mazingira na kuimarisha Afya zetu "


Sanjari na hilo Afisa misitu wa Wilaya ya Mbarali ndugu Patrick amewataka wananchi kupanda miti kwenye maeneo yao ili kuunga mkono kampeni hii na kutunza mazingira yetu na ameagiza kila mwananchi kupanda miti isiyopungua mitano kwenye makazi yake ili kuleta Tanzania ya kijani


Kwa upande wao wanafunzi na Waalimu wa shule hiyo wamemshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kwa kuwaletea miti kwenye shule yao na wame ahidi kuendelea kuitunza kwa manufaa ya sasa na ya baadae .

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • MKUU WA MKOA WA MBEYA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MWENGE WA UHURU 2025

    September 27, 2025
  • KAMPENI YA 27 YA KIJANI MBARALI

    September 26, 2025
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2025 WILAYA YA MBARALI

    September 26, 2025
  • KUU YA MBARALI YAFANYA ZIARA YA MIRADI YA MWENGE 2025

    September 25, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.