• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kaya 10,593 Zanufaika na Mpango wa Tasaf Awamu Tatu Mbarali

Tarehe ya Kuanza: December 13th, 2017

Jumla ya tsh milion 321,772,000 zimelipwa kwa kaya 10,593 zinazonufaika na Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF III) kati ya tsh. Milioni 324,068,000/= zilizotengwa kwa ajili ya kulipa kaya 10,674 zilizopo katika vijiji vyote 75 vilivyopo kwenye mpango huo wilayani Mbarali mkoani Mbeya katika Msimu huu wa Novemba –Desemba mwaka 2017

Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Tasaf Wilaya ya Mbarali Ndg Zabron Abel alipokuwa akielezea namna mpango huo ulivyokuwa na manufaa makubwa kwa jamii hususani baada ya walengwa kutambua Dhima ya Serikali ya kuziwezesha kaya masikini na kuachana na matumizi yasiyo sahihi.

Zabron Alisema kuwa Elimu ya ujasiriamali na ya kujiunga katika vikundi ambayo imekuwa ikitolewa kwa wanufaika, imewezesha kwa kiasi kikubwa fedha zinazotolewa kuelekezwa kwenye miradi ya ujasiriamali badala ya matumizi mengine.

Aliongeza ya kuwa hadi sasa wilayani hapa kuna zaidi ya vikundi 156 vipo kwenye mchakato wa kusajiliwa na kila kimoja kina wanachama wasiopungua 20 kati yao wakiwemo wanufaika wa Tasaf III.

Kwa upande wao wanufaika wa mpango huo katika kijiji cha Lyambogo kata ya Chimala wilayani hapa, Ally Mwinjuma, Fatuma Said, Atutangile Ngoloka na Waziri Mohamed walisema Tasaf III imewapa unafuu mkubwa katika maisha yao. Kwani kupitia Mpango huo wanaamini  Misitu ya asili itaweza kutunzwa kwakuwa awali walilazimika kuivamia na kukata miti kwa ajili ya kuni za kuuza ili kujipatia kipato.

Naye Mwenyekiti wa kijiji cha Lyambogo, Isambi Mwashibanda alibainisha kuwa kwa sasa kijijini hapo kuna mabadiliko ya kimaisha kwa kaya zinazonufaika na Mpango kwani hata waliokuwa hawajawahi kufuga sasa walau unaweza kukuta wana miliki kuku, mbuzi au nguruwe.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.