• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KILICHOJIRI KWENYE MKUTANO WA MKUU WA MKOA WA MBEYA MHE. ALBELT CHALAMILA NA WANANCHI WA WILIYA YA MBARALI TAREHE 04/09/2018 KATIKA KATA YA UTENGULE USANGU

Tarehe ya Kuanza: September 5th, 2018


Nawapongeza kwa umoja na heshima mlioionyesha kwa viongozi wa Serikali hasa katika kuhakikisha Kituo cha Afya cha Utengule Usangu kinakamilika. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Kituo hiki cha afya kitakuwa kama kituo cha rufaa kwa kata na vijiji vya jirani vinavyoizunguka kata hii. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Pamoja na Serikali kutoa pesa za uboreshaji wa kituo cha afya nimeambiwa kuwa wananchi wa Utengule Usangu mmejitoa katika kuchangia ujenzi wa kituo hiki. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Mnapaswa kuwa walinzi wakubwa wa miundombinu ya kituo cha afya maana kuna watu wachache wanapanga mipango ya kuiba miundombinu hiyo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Nimeona mavumbi ya kwenye kituo chetu cha afya, nimemuagiza Mkuu wa Wilaya awasiliane na wakala wa barabara (TANROAD)  ili waje waweke kifusi, pamoja na uwekaji wa kifusi, upandaji wa miti uendelee. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Nimezunguka Tanzania nzima, sijawahi kuona Mbunge mwenye kasi ya maendeleo kama Mbunge wa Jimbo la Mbarali. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Watendaji wote kuanzia ngazi ya Wilaya, kata hadi vijijini simamieni kufanyika kwa mikutano ya ufafanuzi wa vitu vya msingi kwa wananchi wote. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Mkoa wetu upo vibaya kwenye suala la lishe, nawaomba akina mama na akina baba mzingatie lishe za watoto wetu. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Watendaji wa Kata na Vijiji naomba mpango kazi maalumu wa kuhakikisha kila kaya ina choo bora, choo bora ni kile ambacho hakiwezi kusababisha maradhi katika jamii yetu. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Maendeleo ya Wanautengule Usangu yatafanywa na wanautengule usangu wenyewe. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Kazi iliyofanyika kwenye kituo cha afya ni nzuri na ni kubwa mno, nawapongeza wananchi wenzangu wa Utengule Usangu kwa kujitoa kuchangia ujenzi wa kituo hiki nami naahidi kuchangia kiasi cha shilingi milion 5. Mbunge wa Jimbo la Mbarali

Naiomba ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi kama itatokea ujenzi mwingine wa majengo ya SerikaLi, tutumie mfumo kama huu uliotumika katika ujenzi wa kituo cha afya utengule usangu. Mbunge wa Jimbo la Mbarali

Nitaendelea kushirikiana na wananchi wenzangu hasa kwenye maswala ya upatikanaji wa maji, nitaendelea kuchimba visima vya maji kwa wingi, kwa sasa nimeagiza gari maalumu nje ya nchi la kuchimba visima, kwa hiyo nipo nanyi siku zote kwa maendeleo yetu. Mbunge wa Jimbo la Mbarali

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.