• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KILICHOJIRI MKUTANO WA MKUU WA MKOA WA MBEYA MHE. ALBELT CHALAMILA NA WATUMISHI WA UMMA WILIYA YA MBARALI TAREHE 03/09/2018

Tarehe ya Kuanza: September 4th, 2018

Ajenda ya Serikali ni moja tu, kuwaletea wananchi wake maendeleo, viashiria vya maendeleo vipo ambavyo yeyote anaweza kuviona. Mkuu wa Mkoa

Nimeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, lazima niakikishe tunasaidiana kusukuma mbele maendeleo na kila mmoja atimize jukumu lake alilopewa na sitegemei kama kuna mtumishi hajui kanuni na misingi ya utumishi wa umma. Mkuu wa Mkoa

Tuendelee kuwa na umoja na mshikamano kwa Serikali, Viongozi na Wananchi. Isitokee mtumishi wa aina yetu kukuvunjia heshima na kukosa adabu kwa mtumishi wa kawaida, viongozi wamepewa jukumu la kusimamia sheria na taratibu. Mkuu wa Mkoa

Kama unalalamiko kwa kiongozi wako lipeleke kwa Mkuu wa Wilaya kwa utaratibu maalumu, usibaki unalalamikia huko pembeni. Mkuu wa Mkoa

Serikali pamoja na changamoto zake nyingi zilizopo, Mtumishi wa Umma kuiadhibu Serikali ni upuuzi mkubwa. unapokuwa Mtumishi wa Umaa jua ndani yake kuna misingi na taratibu zake. Mkuu wa Mkoa

Mtumishi wa Umma sio mpinzani wa Serikali bali ni mshauri nambali moja wa Serikali. Mkuu wa Mkoa

Demokrasia ni lazima idhibitiwe, lazima iwe na mipaka ya utamaduni, kisiasa, kijamii na kiuchumi. Ndani ya hiyo mipaka ndio kuna neno demekrasia. Mkuu wa Mkoa

Watumishi wa umma tusijiingize kwenye malumbano ya kisiasa yanayoua mwelekeo wa siasa ya Watanzania pamoja na kuwapotosha Wananchi wetu kwasababu wewe unajua mambo mengi ya Serikali. Mkuu wa Mkoa

Tuendelee kuwa mabalozi wa kutafsiri agenda za kitaifa. Mkuu wa Mkoa

Kila mtumishi ajipime asiwe karaha kwenye familia yake, bali awe furaha kwenye familia. Unapokuwa na furaha kwenye familia unamsaidia kiongozi wako kuwa na mtumishi anayeweza kufanya kazi zake bila ya kuwa na kinyongo cha aina yoyote. Mkuu wa Mkoa

Rais amenituma nije niwaunganishe Wananchi wa Mbeya bila kuangalia itikadi za vyama. Mkuu wa Mkoa

Lengo la ziara ya mkuu wa mkoa mpya ni kwa ajili ya kujitambulisha, kuongea na watumishi wa umma pamoja na wananchi katika maeneo yao. Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya

Kufanya vizuri kwa watumishi ndio kufanya vizuri kwa Mkuu wa Mkoa. Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya

Nakushukuru kwa maelekezo yako ya kazi ya msititizo na ninaamini kila mmoja wetu amesikia, kilichobaki ni kwenda kuyatekeleza. Mkuu wa Wilaya ya Mbarali

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.