• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kituo cha Afya Utengule Usangu Kutoa Huduma za Kisasa Wilaya ya Mbarali

Tarehe ya Kuanza: March 21st, 2018

Kituo cha Afya cha Utengule Usangu ambacho kinaboreshwa katika Kata ya Utengule wilayani ya Mbarali, kinatarajiwa kutoa huduma mbalimbali za kisasa kwa ajili ya kuhudumia wananchi mara baada ya kukamilika kwake.

Kituo hicho kinategemea kutoa huduma mbalimbali kwa jamii inayokizunguka zikiwemo huduma za upasuaji hasa kwa akina mama, huduma za uzazi za kujifungua kwa akina mama, huduma ya vipimo vya  maabara, kulaza wagonjwa wa aina zote, kuhifadhi maiti, huduma kwa wagonjwa wa nje, kutakuwa na mifumo ya maji pamoja na nyumba kwa ajili ya kuishi watumishi watakaohudumu kituo cha afya.

Jumla ya majengo mapya saba yanatarajiwa kujengwa yakiwamo:- jengo la upasuaji, jengo la wazazi, jengo la kufulia nguo, jengo la maabara, jengo la kuhifadhia maiti, nyumba ya mtumishi inayojitegemea, jengo la wagonjwa wa ndani (wodi ya wanawake, wodi ya wanaume na wodi ya watoto) pamoja na njia ya kupitishia wagonjwa

Hadi kumalika kituo hiki, kiasi cha  shilingi milioni mia tano na  hamsini na tano, mia moja na tisa elfu mia nane kumi na mbili (555,109,812/=). kinakadiliwa kutumika. Kati ya fedha hizo kiasi cha shilingi Milioni Mia Nne (400,000,000/=) zimetolewa na Serikali kuu, shilingi milioni mia moja  hamsini na tano, mia moja na tisa elfu mia nane kumi na mbili (155,109,812/=) Ni mchango wa Halmashauri ya Wilaya, Wadau mbalimbali pamoja na wananchi.

Kukamilika kwa Kituo hiki kutawezesha wananchi zaidi ya kata sita ambazo zinakizunguka kuhudumiwa. Kata hizo ni Kata ya Utengule Usangu, Kata ya Luhanga, Kata ya Mwatenga, Kata ya Igurusi, Kata ya Kongolo Mswiswi pamoja na Kata ya Mahongole.


Daudi Nyingo

Afisa Habari na Mahusiano

Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mbeya

March 21, 2018

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.