• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kuanzia Tarehe 01/12/2018 Sitaki Kusikia Kuna Kaya Haina Choo Bora- DC Mbarali

Tarehe ya Kuanza: October 27th, 2018

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune katika mwendelezo wa ziara zake katika kata za Mwatenga, Mahongole, Ruiwa pamoja na Igurusi siku ya tarehe 26/10/2018 katika kufuatilia maagizo aliyoyatoa katika kikao cha tarehe 07/09/2018 kwenye kikao alichokiitisha na watendaji wa vijiji, watendaji wa kata pamoja na wenyeviti wa vijiji.

“Ifike muda wale wote wasio na vyoo wafikishwe kwenye vyombo vya sheria, Wilaya ya Mbarali ni ya pili kutoka mwisho kwa Mkoa wa Mbeya  katika suala la vyoo, wakati tuna uchumi mkubwa wa kilimo, ni aibu”

Mhe. Mfune amewataka wale wote wanaondelea na ujenzi wa vyoo kujenga vyoo bora vyenye gharama nafuu ambapo mfuko mmoja wa saruji (Cement) wa kilo 50 unaweza kusakafia vyoo vya kaya 5 vyenye hadhi ya kuitwa vyoo bora.

Kuhusiana na ujenzi wa vyumba vya madarasa pamoja na ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji Mkuu wa Wilaya ameupongeza uongozi wa kata ya Mahongole kwa kukamilisha ujenzi wa vyumba vyote vinavyohitajika kwa kidato cha kwanza na amevitaka vijiji vyote vilivyopo Wilaya ya Mbarali kukamilisha kwanza ujenzi wa zahanati, na mara baada ya kumaliza ujenzi huo waunganishe nguvu kujenga vituo vya afya.

“Zoezi la ujezi wa vyumba vya madarasa liende sambamba na utengenezaji wa madawati, nikija mwezi wa 11 sita kuwa na kikao cha ndani, tutakutana kwenye miradi muwaelekeze wananchi kufanya shughuli za maendeleo, kila mtendaji ajitahidi kufanya katika eneo lake”

Kuhusiana na suala la lishe pamoja na uandikishaji wa yeti vya kuzaliwa, alisema kuwa, mazoezi haya ni endelevu sababu watoto wanazaliwa kila siku utengwe muda wa dakika 10 kwenye kila mikutano ya hadhara kutoa elimu ya masuala ya lishe na uandikishwaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto kwani vinatolewa bure kwa wenye umri chini ya miaka 5 na kwa kipindi hiki huwezi kupata kitambulisho cha Taifa kama bila ya kuwa na cheti cha kuzaliwa.

Mhe. Mfune aliagiza watendaji wote pamoja na wenyeviti kuongeza juhudi katika kusimamia ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji, ujenzi wa vyumba vya madarasa, masuala ya lishe kwa watoto, uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano pamoja na ujenzi wa vyoo bora kwa kila kaya.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.