• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kufika mwaka 2020 kila Kijiji kitakuwa na Zahanati na kila kata itakuwa na kituo cha Afya- Mfune

Tarehe ya Kuanza: May 13th, 2019

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune siku ya tarehe 12/05/2019 kwenye maadhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika kiwilaya katika ukumbi wa Polisi uliopo Kata Rujewa wilayani hapa.

Mhe. Mfune alisema kuwa katika kuboresha utoaji huduma ya Kada ya afya, atahakikisha kufikia mwaka 2020 kila kijiji kitakuwa na zahanati na kila kata itatakiwa kuwa na kituo chake cha afya, na katika kampeni hiyo ataendelea kuhimiza ujenzi wa nyumba za watumishi wa Sekta ya Hiyo.

Sambamba na hilo amewataka Wauguzi wote wa Wilaya Mbarali kufanya kazi ambayo haitaleta manung’uniko au migongano kwa wateja wanaowahudumia, kwani  wauguzi wana kazi kubwa sana. Kila sehemu zinakotolewa huduma za afya, Wauguzi ndio wengi kuliko kada  nyingine zote.

“Nawapongeza Wauguzi kwa utendaji kazi wenu mzuri kwani kwa kipindi cha miaka mitatu niliyofanya kazi  hapa Mbarali sijapoke malalamiko makubwa  yanayowahusu Muuguzi,  endeleeni kusaidia wagonjwa kwa vipaji mlivyopewa na Mwenyezi Mungu kupitia mafunzo mliyoyapata. Kila mmoja wenu aone kila siku ni siku ya kujifunza kutokana na teknolojia inavyobadilika.”

Sambamba na hilo Mhe. Mfune amewataka Wauguzi wote kufanya kazi kwa bidii na kufuata maadili ya kazi za uuguzi na amemtaka  Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya  kuwaangalia wauguzi kwa jicho la kipekee na kutenda haki kwa kila anaestahili na kutoa pongezi kwa kila anaestahili pongezi.

Wakiongea katika Risala yao Wauguzi walibainisha baadhi ya changamoto wanazokutananazo zikiwemo, kutopandishwa vyeo kwa wakati, kutolipwa  malimbikizo ya nyongeza ya mishahara, uhaba wa  Maafisa Tabibu, uhaba wa nyumba za watumishi, upungufu wa wauguzi katika vituo vya kutolea huduma pamoja na baadhi ya wazazi kuchelewa kufika vituoni wakati wa kujifungua, hali inayopelekea baadhi yao  kujifungulia   njiani   na kusababisha vifo vitokanavyo na uzazi.            

Naye Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Mbarali Dr. Godfrey Mwakalila amewataka Wauguzi kutekeleza wajibu wao vizuri kwa wagonjwa wanaowahudumia kwani wasipotekeleza, daktali hawezi kumuhudumia vizuri mgonjwa. 

Siku ya wauguzi huadhimishwa kila mwaka tarehe 12/5 kwa kumbukumbu ya  Muuguzi BI, FRORENCE NIGHT NGALE ambaye alizaliwa huko Italia  tarehe  12/05/1820 akiwa ni mtoto aliyetokea katika familia ya  kitajiri lakini aliyejaliwa kuwa na moyo wa huruma na wito katika swala zima la huduma kwa wagonjwa.

Mnamo mwaka 1833 ilipotokea vita kati ya Waingereza na Warusi, Muuguzi huyo alipata huruma kuwaona askari waliojeruhiwa wakiwa wameachwa bila msaada wowote na yeye alijitoa mhanga kuwahudumia majeruhi hao kwa kuwafunga vidondo vyao.

Nyakati hizo hapakuwepo na mwanga wa umeme au taa maeneo hayo. Lakini alitumia vibatari na kufanikiwa kutoa huduma vizuri na majeruhi walipona.

Kauli mbiu ya mwaka huu katika maadhimisho ya sherehe  ni WAUGUZI NI MBIU INAYOONGOZA AFYA KWA WOTE

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.