• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI WAPIGWA MSASA MAFUNZO ELEKEZI.

Tarehe ya Kuanza: January 20th, 2026


Takribani Madiwani 26 kutoka katika Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali wameanza kupatiwa mafunzo elekezi kutoka kwa Wakufunzi na wawezeshaji leo Januari 20, 2026 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo. 


Madiwani hao wameanza mafunzo hayo ya siku mbili ambayo yanatolewa na Mkufunzi Eustard Ngatale ambaye ni Mwanasheria na wawezeshaji Beyond Samwel Madege na Dkt. Wakara Ibrahim Nyabakora, ambapo mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo katika kufahamu Sheria, Kanuni, Taratibu na miongozo itakayowasaidia katika kutekeleza majukumu ya kuwatumikia wananchi. 


Akizungumza baada ya kumaliza siku ya kwanza ya mafunzo hayo, Mhe. Diwani Safi Hamidu Almasi ambaye aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa washiriki wa mafunzo amesema ushiriki wao utasaidia kuwaongezea uwezo Madiwani ambao walikuwepo kwenye nafasi hizo awamu iliyopita na kuwajengea uwezo na uzoefu wale ambao wanashika nafasi hizo kwa mara ya kwanza. 


“Tumepata uzoefu kuhusu Sheria na taratibu namna ya kushirikiana kuanzia ngazi ya Kata mpaka Halmashauri, natoa wito Madiwani wenzangu tukirejea kwenye utendajio tufanye vile ambavyo tumeelekezwa na tusiende nje ya utaratibu”, amesema Mhe. Safi Hamidu Almasi.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ambaye ni Diwani wa Kata ya Itamboleo, Mhe. Twalib Tamimu Lubandamo amesema mafunzo hayo ni dira ya kuwafanya kuwa viongozi bora na pia itawapa misingi ya utawala na uelewa wa mipaka na ukomo wa madaraka yao.


“Tunamshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu kuwaleta wakufunzi kutupitisha kwenye haya mafunzo kwani yatatufanya Madiwani tujitambue na kuyatambua majukumu yetu kwa wananchi kwenye ngazi ya Kata mpaka Halmashauri”, amesema Mwenyekiti Mhe. Lubandamo.


Mafunzo hayo yanatarajiwa kuhitimishwa kesho Januari 21, 2026 ambapo Muwezeshaji Beyond Samwel Madege kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma amesema Madiwani hao watapatiwa mafunzo maeneo mbalimbali ikiwemo masuala ya uongozi na utawala bora, Sheria, ardhi, Miundo pamoja na Haki na Stahiki.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • WASIOPELEKA WATOTO SHULE WACHUKULIWE HATUA.

    January 20, 2026
  • MBARALI YAJIZATITI KUPAMBANA NA MAJANGA YA MOTO .

    January 20, 2026
  • MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI WAPIGWA MSASA MAFUNZO ELEKEZI.

    January 20, 2026
  • DED MWELI AKABIDHI GUTA, MILIONI 10 KIKUNDI CHA “WANAWAKE NI NGUZO” KATA YA MAWINDI.

    January 20, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.