• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Magonjwa Mengi Yanasababishwa na Uzembe wa Kutofanya Mazoezi – Mfune

Tarehe ya Kuanza: November 25th, 2018

Hayo yamesemwa na Mkuu wa wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune siku ya tarehe 24/11/2018 alipokuwa akifungua mashindano mbalimbali ya Bonanza aliyoyaandaa kwa ajili ya kuwakutanisha Watumishi wa Sekta za Umma na Sekta Binasfi.

Mhe. Mfune amewataka wananchi wote wa Wilaya ya Mbarali kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi kila mara, sio kusubili hadi watakapopatwa na magonjwa au kushauriwa na daktari.

 

“Mazoezi sio lazima kukimbia, hata ukitembea mwendo wa haraka kwa muda wa nusu saa na ukatokwa na jasho, inatosha kwa siku. Sehemu ambazo unaweza kutembea kwa miguu ni vyema ukafanya hivyo kuliko kutumia vyombo vya usafiri”

Mkuu wa Wilaya ametoa maelekezo kwa kata zote pamoja na vijiji vilivopo ndani ya Wilaya ya Mbarali kuweka utaratibu wa kufanya mazoezi ya pamoja kwa kila siku za jumamosi sambamba na kuundwa kwa club mbalimbali za jogging, vilevile amazitaka shule zote kuwawekea wanafunzi utaratibu wa kufanya mazoezi kila siku kabla ya kuanza kwa masomo.

Kuhusiana na suala la Uchangiaji wa damu pamoja na upimaji wa virusi vya ukimwa ambapo zoezi hilo lilikuwa linaendelea uwanjani hapo, Mhe Mfune amewataka wananchi kuendelea kujitokeza kwa wingi kuchangia damu ili ziweze kuokoa maisha ya wengi kwani hakuna kiwanda cha damu, damu inatoka kwa binadamu. Utafiti wa kisayansi bado haujathibitisha kuchukua damu ya mnyama na kumuongezea binadamu, hivyo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuchangia damu ili kuokoa maisha yawengine.

 

“Tunapoambiwa Mume na Mke ni mwili mmoja, sio kwamba mnalingana damu, kila mmoja ana damu yake, tujitokeze kwa wingi ili tuweze kujua afya zetu”.

Baadhi ya watumishi waliohudhuruia Bonanza hilo, wamemuomba Mkuu wa Wilaya kufikilia kuweka utaratibu wa kufanyika kwa Mabonanza kama haya walau mara 4 kwa mwaka.

Lengo la kuandaa bonanza lilikuwa ni kuwakutanisha Watumishi kutoka Taasisi za Umma pamoja na Sekta binafsi  ili waweze kufahamiana, kubadilishana mawazo pamoja na kupata burudani. Michezo iliyokuwepo uwanjani hapo ni pamoja na Matembezi ya pamoja kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hadi viwaja vya shule ya msingi Ibara umbali wa km 3.5, Mpira wa Miguu, Netball, Mpira wa Wavu na maonyesho ya baiskeli.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.