• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAWAZIRI 8 WATUA MBARALI KWA AJILI YA MPAKA WA HIFADHI YA TAIFA RUAHA

Tarehe ya Kuanza: February 15th, 2019

Mawaziri 8 kutoka wizara zinazohusika na suala la Hifadhi ya rasilimali maji na maliasili  wakiongozwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi wamewasili Wilayani Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kushughulikia  pamoja na kutafuta suluhu ya mgogoro wa mipaka kati ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na vijiji 33 vilivyopo katika Wilaya ya Mbarali siku ya tarehe 15/02/209.

Mawaziri hao ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dk Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Seleman Jafo.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dk Hussein Mwinyi, Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Musa Sima na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina.

Akizungumza na baadhi ya wananchi pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika ukumbi wa polisi uliopo Kata ya Rujewa, Mhe. Lukuvi alisema kuwa hawajafika kuja kutoa majibu ya mgogoro huo, bali wamekuja kwa ajili ya kujionea hali halisi ili waweze kumshauri Mhe. Rais kuhusiana na Mgogoro huo.

Mawaziri hao waliweza kutembelea eneo lenye mgogoro huo kabla ya kuzungumza na wananchi pamoja na viongozi mbalimbali waliopo wilayani hapa.

Vijiji 33 vipo ndani ya hifadhi kwa mujibu wa Tangazo la Serikali namba 28 la mwaka 2008 (GN No.28 ya 2008), hivyo vimekuwa kwenye mgogoro kwa muda wa miaka 10.

Januari 15, 2019, Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. John Pombe Magufuli aliagiza vijiji vyote 366 vilivyobainishwa kuwepo ndani ya maeneo ya Hifadhi za Taifa nchini visiondolewe na badala yake wizara husika zianze kufanya mchakato wa kuvirasimisha huku akitoa muda wa mwezi mmoja kwa viongozi kubainisha maeneo ya vijiji hivyo na kuanzisha mchakato wa mabadiliko ya sheria ili yawasilishwe katika kikao cha Bunge.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SALAMU ZA EID EL FITR

    March 31, 2025
  • DC MBARALI AANDAA HAFLA YA IFTALI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE,TASISI ZOTE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU..

    March 28, 2025
  • DC MBARALI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA CHIMALA

    March 14, 2025
  • KIKAO CHA DCC KUPENDEKEZA MAJINA YA MAJIMBO WILAYANI MBARALI

    March 13, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.