• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MBARALI YAJIPANGA KUPAMBANA NA MAAFA.

Tarehe ya Kuanza: January 9th, 2026

 


Wilaya ya Mbarali imeendelea kujipanga sawasawa kukabiliana na maafa ya aina yote iwe ya asili au yasiyo ya asili yanayoweza kujitokeza kwenye Wilaya hii


Hayo yamebainishwa na kwenye kikao cha kamati ya Maafa Wilaya ya Mbarali kilichoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mheshimiwa Brigedia Jenerali Maulid Hassan Surumbu , Leo januari 9 kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbarali


Katika kikao hicho kamati hiyo ilipokea taarifa za hali ya maafa pia ilijadili aina za maafa yanayoweza kujitokeza kwa kuzingatia mazingira ya Wilaya

Sanjari na hilo kamati ilipitia taarifa ya jinsi taasisi za serikali kama TANROAD,  TARURA,RUWASA,TANESCO ,RUJUWASA NA RUWASA jinsi zilivyojipanga kupambana na maafa yoyote yatakayojitokeza .


Akizungumza katika kikao hicho Mheshimiwa  Brigedia Jenerali Maulid Surumbu amezitaka kila idara na taasisi kutekeleza mipango yote ya kukabiliana na maafa kama walivyoainisha kwenye kikao hicho


"Kama mnavyojua jiografia ya Wilaya yetu ni eneo la tambarare na linapokea mvua nyingi hivyo ni rahisi kupata na majanga ya mafuriko au kimbunga hivyo ni jukumu la kila idara na taasisi kutekeleza mipango yote ya kukabiliana na maafa pale tu yatakapojitokeza hasa kipindi hichi cha masika "

 Aidha kamati hiyo iliazimia kuziagiza kamati za maafa za kata na vijiji kutenga maeneo ya kuhifadhia watu pindi yakitokea majanga mbalimbali.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • WASIOPELEKA WATOTO SHULE WACHUKULIWE HATUA.

    January 20, 2026
  • MBARALI YAJIZATITI KUPAMBANA NA MAJANGA YA MOTO .

    January 20, 2026
  • MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI WAPIGWA MSASA MAFUNZO ELEKEZI.

    January 20, 2026
  • DED MWELI AKABIDHI GUTA, MILIONI 10 KIKUNDI CHA “WANAWAKE NI NGUZO” KATA YA MAWINDI.

    January 20, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.