• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mbarali yazidi kupata hati safi inayoridhisha kwa miaka 3 mfululizo

Tarehe ya Kuanza: July 4th, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya, imeendelea kupata Hati safi inayoridhisha kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo tangu mwaka fedha wa Serikali 2015/2016, 2016/2017 na 2017/2018.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Albert Chalamila kwenye kikao maalumu cha  kujadili majibu ya hoja na utekelezaji wa mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2017/2018 na hoja za miaka ya nyuma na ili  kuona mapungufu yaliyopo, tulipo na wapi tunaweza kujirekebisha kwenda mbele kwa ajili ya kaguzi zijazo.

“Nawapongeza kwa mafanikio ya kuotoka mwenye hati mbaya na hati zenye mashaka na sasa mpo kwenye hati safi zinazoridhisha. Ushirikiano kati ya Madiwani na Wataalamu ndio nguvu ya Halmashauri, kila mtu anamapungufu yake, tusaidiane mapungufu hayo yawe ya kibinadamu zaidi ili tusiikwamishe Halmashauri.”

Katika kikao hicho Mhe. Chalamila aliipongeza Halmshauri ya Wilaya ya Mbarali kwa kukusanya kiasi cha tsh. bilioni 4.0 kati ya tsh. bilioni 4.7 walizojiwekea malengo kufikia juni mwaka huu 2019 pamoja na kufanikiwa kufikia asilimia 85 ya makusanyo yake ya ndani.

Aliongeza kuwa kusingekuwa na changamoto ya marekebisho ya sheria tungekusanya zaidi kwani ni bora ukawa wa mwisho kwenye ubora kuliko ukawa wa kwanza kwenye vibonde.

“Lazima muweke kipaumbele kama Halmashauri, mkikusanya billion 4 angalau muwe na kitu hata cha bilioni 1 au milioni 800 mnachoweza kukionesha kwa ukumbusho wa makusanyo ya mwaka furani, lakina kama pesa zote zitapotea katika vitu ambavyo havionekani vizuri hata kama mmefanya vitu vya kisheria mnakuwa bado hamjaacha alama.”

“Mnaweza mkaweka malengo ya miaka miwili au mitatu kukamilisja miradi ambayo mnazani mkiondoka mnaweza kuionyesha kwa wananchi. Tusiishie tu kwenye makusanyo lakini twende kwenye nidhamu ya matumizi pamoja na kupanga vipaumbele vizuri kwa ajili ya vizazi vijavyo.” Alisema.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mhe. Francis Mtega amemhakikishia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Alabert Chalamila kuendeleza ushirikiano uliopo kati ya wataalamu na Waheshimiwa Madiwani paomja kuhakikisha wanazisiamamia vizuri mali zote za Halmashauri ili ziwe salama.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma H. Msangi ameishukuru ofisi ya CAG kwa ushirikiano mzuri wanaoutoa  kwani ukaguzi wa kipindi hiki umekuwa wa kushirikiana.

Kuhusiana na suala ya makusanyo Msangi alisema kuwa makusanyo yote ya Halmashauri kwa sasa yamepelekwa kwenye ngazi ya kata na kuyaondoa kwenye ngazi ya kanda. Ushuru wa gunia la mpunga limeshuka kutoka kiasi cha sh 2,000 hadi kiasi cha shilingi 1,000 na kwa upande wa mchele imeendelea kubaki kiasi cha tsh 2,000 kama ilivyokuwa awali.

Waheshimiwa Madiwani wamemshukuru Mkuu wa Mkoa pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa kuwaongoza katika kusimamia kupunguza hoja zilizokuwepo na wamewataka Wataalamu wa Halmashauri kuto rudi tulikotoka katika kuzalisha hoja bali waendelee kusonga mbele kutozalisha hoza zisizo za lazima

MWISHO


Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.