• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MFUNE ATOA WIKI MBILI KWA WALIOKAIDI KUPISHA UPANUZI WA BARABARA KUPISHA MARA MOJA

Tarehe ya Kuanza: April 21st, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune ametoa muda wa wiki mbili kuanzia siku ya jumatatu ya tarehe 23 Aprili, 2018 kwa wote waliokaidi kupisha upanuzi wa barabara kupisha mara moja kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao ikiwamo kulipia gharama za ubomoaji utakaofanyika.

Mhe. Mfune ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya Kukagua ujenzi barabara ya km 6.6 inayojengwa na Tanroad kutoka Mdodela hadi Ubaraku katika kata ya Ubaruku iliyopo Wilaya ya Mbarali siku ya tarehe 20 Aprili, 2018.

“Muda wa kubomoa ulishapita tangu mwezi Novemba 2018, wale wote ambao hawajatekeleza itatumika nguvu” alisema

Akizungumza katika ziara hiyo msimamizi wa mradi huo kutoka kampuni ya Summer Communications Limited kwa kushirikiana na kampuni ya Mtwivila Traders alisema kuwa kipande cha barabara walichokabidhiwa kutoka Mdodela  hadi Ubaruku kina urefu wa Km 6.6 na kinajengwa kwa kiwango cha lami ya tabaka mbili pamoja na uwepo wa kalavati 9 zenye ukubwa wa sentimeta 90.

Vilevile alisema kuwa, ujenzi wa barabara hiyo ulianza tangu August 12, 2017 na unatarajiwa kumalizika August 12, 2018 mkataba wa mwaka mmoja na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 6.197 za Kitanzania na hadi kufikia sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 35 na muda uliotumika ni asilimia 60 ila kwa sasa kazi za msingi zote zimekamilika na sehemu iliyobaki haina changamoto kubwa katika umaliziaji.

Msimamizi huyo aliongeza kuwa, changamoto walizokutananazo ni pamoja na kutotambulika kwa baadhi ya vitu kipindi tathmini ya mradi ikiwamo Mchanga na kuoza kwa barabara, changamoto ya mvua ambayo ilisababisha kujaa kwa mashimo, wizi wa vibao vya barabarani, upatikanaji wa vibari vya Kokoto, upatikanaji wa udongo ambao unapatikana mbali na eneo la sehemu ya mradi pamoja na kazi ya uchanganyaji wa udongo na Mchanga ambayo inachukua muda mrefu.


Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.