• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mikopo Inayotolewa Itumike Kujenga Viwanda-Mfune

Tarehe ya Kuanza: October 18th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amewataka wakazi wa Mbarali wenye sifa za kujiunga kwenye vikundi wajiunge ili waweze kunufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kwa ajili ya Wanawake, Vijana na watu wenye Ulemavu ili waweze kuanzisha viwanda,  kujiajiri na kutoa ajira kwa wengine.

Ameyasema hayo siku ya 17/10/2019 alipotembelea kiwanda cha kutengeneza Sabuni (Mbarali Soap) kinachomilikiwa na Kikundi cha Umoja wa Watu wenye Ulemavu Mbarali (UWALEMBA) ambacho kimewezeshwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkopo wa kiasi cha shiling 46,710,000  na kuweza kuanzisha kiwanda kidogo ambacho kinatoa ajira kwa watu 12 wakiwemo wenye ulemavu 6 na wasio na ulemavu 6.

“Nimefurahishwa sana na kuanza kwa uzalishaji huu kwani sijawahi kuona kikundi chenye mtazamo wa mbali kama huu,  nawasihi wananchi wengine wa wilaya ya Mbarali kuiga mfano huu na kufanya kitu kikubwa zaidi ya hiki kwani Serikali ipo kwa ajili ya wananchi hivyo wasiogope kuthubutu.” 

“Vikundi vijiunge vifanye kitu kikubwa zaidi kwani fedha zipo na zinatolewa kila mwaka. Halmashauri iendelee kufikiria kuwakopesha watu wenye maono makubwa zaidi ya kuanzisha viwanda vya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kama walivyofanya Kikundi cha Umoja wa Watu wenye Ulemavu ambao wameanzisha kiwanda cha kutengeneza Sabuni.” Alisema Mhe. Mfune.

Aidha katibu  wa  kikundi cha Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Mbarali (UWALEMBA)  Ramadhani J. Shamte  ameiomba Serikali kuendelea kuunga mkono juhudi zao ikiwa ni pamoja na kuwasaidia kupata eneo kubwa zaidi kwa ajili ya shughuli ya uzalishaji pamoja na kupata soko la bidhaa zao ambazo ni Sabuni za Kufulia, kuogea, sabuni za maji pamoja na mafuta ya kupaka.

Kiwanda cha Kutengeneza Sabuni, Mbarali Soap kinapatikana kata ya Rujewa Kitongoji cha Uhamila. Kiwanda hicho kinazalisha Sabuni za kufulia, kuogea, sabuni za maji pamoja na mafuta ya kupaka. Kiwanda kina kaulimbiu ya OGA, FUA, PAKA,  na kimetoa ajira kwa watu wenye ulemavu pamoja na wasio na ulemavu.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.