• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MILION 129 ZATOLEWA KUSAIDIA KUMALIZIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA MBARALI

Tarehe ya Kuanza: January 2nd, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune, amekabidhi fedha za Vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni 129 zilizopatikana kwenye Harambee kubwa iliyoitishwa tarehe 18/12/2019 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba 36 vya madarasa vya Shule za Sekondari ili wanafuzi ambao waliochaguliwa kuijiunga kidato cha kwanza waweze kuanza masomo ifikapo mwezi Januari 2020.

Mhe. Mfune amegawa fedha hizo na vifaa vya ujenzi siku ya tarehe 02/01/2020 ofisini kwake alipoitisha kikao kati ya Watendaji wa Kata na Waheshimiwa Madiwani ambao shule zao zinaupungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa.

“Mtakumbuka kwamba siku ya tarehe 18/12/2019 tuliandaa Harambee kwa ajili ya kusaidia vifaa vya ujenzi wa vyumba vya madarasa 36 vya shule za Sekondari ili watoto wetu 1,665 ambao matokeo yao yamezuiliwa kutokana na uhaba wa vyumba vya kusomea waweze kuanza masomo yao mwezi Januari 2020

“Nawashukuru sana wadau ambao waliweza kutuchangia fedha taslimi na vifaa vya ujenzi, ambapo ahadi pamoja na vifaa vyote vina thamani ya shilingi million 151. Hadi sasa tumefanikiwa kupata fedha shilingi milioni 91 na vifaa vyenye thamani ya shilingi million 38 ambapo jumla yake ni milioni 129. Leo tarehe 02/01/2020 nimegawa fedha na vifa vyote vya ujenzi simenti mifuko 1376 na mabati 840 kwa Watendaji wa Kata wakishuhudiwa na Waheshimiwa Madiwani.” Alisema Mhe. Mfune

Mkuu wa Wilaya ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ihakikishe vifaa vyote alivyovigawa vimefika eneo la ujenzi na fedha ziingizwe kwenye akaunti husika kati ya tarehe 2 na tarehe 3, vilevile amewaagiza Waheshimiwa Madiwani na Watendaji wa Kata kujenga vyumba vya madarasa kwa kasi ili watoto wote waliochaguliwa waweze kuanza kidato cha kwanza mwezi huu.

Vilevile Mhe. Mfune ametoa wito kwa wale ambao hawajakamilisha ahadi zao waweze kufanya hivyo mapema ili fedha hizo zitumike katika ujenzi.

Waheshimiwa Madiwani pamoja na Watendaji wa kata wamemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kubuni kitu cha kuwakutanisha wadau wa ndani na wa nje na hatimae kufanikisha kupata fedha na vifaa vya ujenzi. Wameahidi kwenda kusimamia ujenzi ili watoto wote waweze kuanza kidato cha kwanza mwezi huu.

Katika mgao huo Mkuu wa Wilaya ameagiza Shule mpya ya Sekondari ya Rujewa wapewe mifuko ya Simenti 426, Bati 371 na kiasi cha fedha cha shilingi 9,594,000 kwa ajili ya Nondo 72 na Mbao 828, na Shule ya Sekondari Rujewa wapewe shilingi 17,365,500 kwa ajili ya Madirisha, Milango na Simenti kumalizia Bwalo la chakula na shule ya Sekondari mpya ya Madibira ameagiza wapewe Bati 371 na fedha kiasi cha shilingi 7,866,000 kwa ajili ya Mbao 828.

Shule ya Sekondari mpya ya Muwale (Chimala) ameagiza wapewe Simenti mifuko 133, Bati 102 na fedha shilingi 2,816,000 kwa ajili ya Nondo 24 na Mbao 224, Shule mpya ya Sekondari ya Kapunga Simenti mifuko 149, Bati 161, shilingi 4,578,000 kwa ajili ya Mbao 396 na Nondo 34 na Shule mpya ya Sekondari ya Mwatenga Simenti mifuko 225, fedha shilingi 9,129,000 kwa ajili ya Bati 171, Nondo 36 na Mbao 366.

Shule mpya ya Sekondari ya Haloon wamepewa shilingi 200,000 pamoja na Tofari 1,000, Shule ya Sekondari ya Utengule Usangu wamepewa mifuko ya Simenti 121 na fedha shilingi 3,724,000 kwa ajili ya Bati 133, Shule ya Sekondari ya Ruiwa wamepewa Simenti 164 na shilingi 3,024,000 kwa ajili ya Bati 108 na Shule ya Sekondari ya Mwakaganga wamepewa Simenti mifuko 225 na shilingi 8,569,000 kwa ajili ya Mbao 366, Bati 151 na Nondo 36.

Shule ya Sekondari ya Mawindi wamepewa Simenti mifuko 82, shilingi 3,538,500 kwa ajili ya Mbao 183, Bati 54, Nondo 12 pamoja na tsh 20,000,000 kwa ajili ya umaliziwaji wa Bwalo la chakula, Vyoo pamoja na Bweni na Shule ya Sekondari ya Ipwani Simenti mifuko 164 na shilingi 5,174,000 kwa ajili ya Mbao 244 na Bati 102.
MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.