• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Milioni 400 Kuboresha Kituo cha Afya Utengule Usangu Mbarali

Tarehe ya Kuanza: January 26th, 2018

“Jumla ya kiasi cha Tsh. Milioni Mia Nne (400,000,000/=) zimeletwa katika Kata ya Utengule Usangu kwa ajili ya kuboresha Kituo cha Afya.”

Hayo yamesemwa na  Katibu Tawala ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Ezekia Kilemile akimwakilisha Mh. Mkuu wa Wilaya kwenye Mkutango wa hadhara na wananchi wa Kata ya Utengule Usangu aliouitisha kwa ajili ya kuwakabidhi mradi wa uboreshaji wa kituo cha cha afya Utengule Usangu.

Akihutubia katika mkutanoa huo uliohudhuliwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya pamoja na Kamati ya Maendeleo ya Kata (WDC), katibu Tawala alisema kuwa fedha hizo zinatakiwa kujenga Majengo zaidi ya sita (6) pamoja na kufanya ukarabati katika Majengo yaliyopo ambayo jumala yake yanafikia kumi na nne (14), ambayo yamewekwa kwa mujibu wa maelekezo ya Serikali.

Majengo hayo ni Ujenzi wa Jengo la Maabara, Jengo la Upasuaji, Jengo la Wodi ya Watoto, Jengo la Wodi ya Wazazi, Jengo la Nyumba ya Mtumishi, Jengo la kuhifadhia Maiti, Ujenzi wa Tanuru la kuchomea takataka, kufanya ukarabati wa mtandao wa maji, ukarabati wa Jengo la Wangonjwa wa nje (OPD), ukarabati wa Jengo la CTC, ukarabati wa Jengo la Wanaume na Wanawake pamoja na kuunganisha umeme katika Majengo yote. Majengo yote yanatakiwa kujengwa kwa viwango vilivyokubalika.

Kilemile alisema kuwa jumla ya Kamati nne zimeundwa ili kuhakikisha fedha hizo zinafanya kazi kubwa. Kamati hizo ni Kamati ya Ujenzi, Kamati ya Mapokezi, Kamati ya Manunuzi na Kamati ya Usimamizi. Kamati hizo zote zitasimamia Ujenzi kwa ujumla ikiwemo kuhakikisha fedha zilizopo zitatumika kununua bidhaa kwa bei ya sokoni bila kufuta utaratibu wa wazabuni.

Katibu Tawala aliongeza kuwa, kuna mambo ambayo jamii inatakiwa ishiriki ikiwamo kutoa nguvu kazi ili kusaidia kazi zitakazokuwa zinafanyika kwenye mradi ikiwemo kuchangia tofari kutoka kila Kijiji, Mchanga, pamoja na Mawe, kwani fedha hizi zimeletwa ili ziweze kusaidiana na nguvu za wananchi ambao wana jukumu la kujenga Kituo chao cha Afya.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Kivuma H. Msangi aliongeza kuwa Wilaya ya Mbarali imekuwa na bahati kuweza kupata pesa za mwanzo katika awamu ya pili, tunatakiwa kuidhihirishia Serikali kuwa kweli kulikuwa na uhitaji wa fedha hizo kwa kuhakikisha tunapata Kamati za watu waaminifu na kuhakikisha fedha hizo hazitumiki kwa Matumizi yasiyokusudiwa kama posho wala usafiri.

Msangi aliongeza kuwa kama nguvu za wananchi zitatumika vizuri, Fedha hizo zitatosha kuweza kujenga na kukarabati Majengo yote kwani fedha tulizonazo ni shilingi Milioni Mia Nne (400,000,000/=) na ili kufanikisha shughuli zote   tunatakiwa kuwa na kiasi cha shilingi milioni mia tano na  hamsini na tano, mia moja na tisa elfu mia nane kumi na mbili (555,109,812/=).

Wananchi wa Kata ya Utengule Usangu wameishukuru Serikali kwa kuweza kupeleka Mradi huo kataka kata yao, na wameahidi kutoa ushilikiano katika kila jambo ili kuwenza kufanikisha uboreshwaji wa Kituo cha Afya cha Utengule Usangu.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.