• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Misitu Ni Uhai, Tuitunze Na Kuilinda- Mnangwone

Tarehe ya Kuanza: March 4th, 2020

Hayo yamesemwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kutoka Mkoa wa Mbeya Ndg Joseph Mnangwone alipokuwa akitoa elimu ya Uhifadhi wa Misitu kwenye vijiji vya Iheha, Nyamakuyu na Chalisuka vilivyopo Kata ya Madibira siku tarehe 04/03/2020 alipokuwa akiwasilisha mada kwa wananchi ambapo Tume maalumu imeundwa kwa ajili ya kutoa elimu kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa kuhusiana na Uhifadhi wa Wanyama pori, Uhifadhi wa Misitu, utunzwanji wa Mazingira, matumizi bora ya ardhi pamoja na mbinu bora za Kilimo na Ufugaji.

Ndg. Mnangwone alimeama kwamba misitu inaharibiwa na shughuli za kibinadamu na kusababisha madhara makubwa ikiwamo mabadiliko ya hali ya hewa kama ongezeko la joto, ukame, ukosefu wa mvua na maafuriko, mmongonyoko wa ardhi pamoja udongo kupoteza rutuba.

“Tukiiharibu hii Tanzania hatutakuwa na sehemu nyingine ya kuishi, misitu ni uhaii, tuitunze misitu na kuilinda. Wewe hapo ulipo unapumua hewa chafu, hewa hiyo chafu inachukuliwa miti, na miti inatengeneza hewa safi, kwa hiyo tunapoharibu misitu inamaana tunakaribisha hewa chafu ambayo itatuletea magongwa kwa namna nyingine.”

Muikolojia kutoka Hifadhi ya Taifa ya Tanzania (TANAPA) Ndg. Daniel Mathayo alisema kuwa, kwa sasa Tanzania ina Hifadhi 22 zinahudumiwa na TANAPA. Hifadhi zote hizo ni mali za wananchi kwani faida zinazopatikana zinahudumia wananchi katika nyanja mbalimbali kama kujenga Hospitali, Zahanati Barabara, Shule na miundombinu mingine.

Aliongeza kuwa ni kosa kisheia kuchoma moto ndani ya Hifadhi, kuingiza mifugo kwenye eneo la Hifadhi, kuvuna mazao ya miti, kuwinda wanyama pori na shughuli zingine za kibinadamu ndani ya Hifadhi, na ikitokea mtu amekiuka atachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria zilizopo.

Naye Afisa Mipango Miji Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndg. Enock Kyando alisema kwamba unapozungumzia umiliki wa ardhi, unajumuisha vitu vyote vilivyo juu yake kama nyumba, miti, mashamba na vinginevyo, ila vitu vyote vilivyo chini ya ardhi kama mafuta, gesi na madini, hivyo vyote ni mali ya Serikali.

Diwani wa Kata ya Madibira Mhe. Elick Ngoliama alisema kwamba wananchi wanaupenda sana uhifadhi kwani umewasaidia kutengeneza miundombinu mingi ya kijamii ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa kwenye vijiji 3 pamoja na zahanati vijiji 2 na amezishukuru timu zote za ulelimishaji zilizofika katika kata yake kutoa elimu ya uhifadhi kwani elimu hiyo itawasaidia kuepuka kuvunja sharia kwenye maeneo ya uhifadhi.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.