• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Miti 200 yapandwa Kituo cha Afya Kapunga kudhibiti ukame.

Tarehe ya Kuanza: April 2nd, 2020

Katibu Tawala wilaya ya Mbarali ndg. Michael Semindu, ameongoza zoezi la upandaji miti 200 ya aina mbalimbali katika Kituo cha Afya cha Kapunga kilichopo Kijiji cha kapunga kata ya Itamboleo siku ya tarehe 01/04/2020 kwenye maadhimisho ya kilele cha upandaji miti kiwilaya kwa lengo la kuboresha mazingira yanayo zunguka kituo cha Afya sambamba na kudhibiti ukame.

Akiongea katika zoezi hilo Ndg. Semindu amewataka wakazi wote wa Wilaya ya Mbarali kuhakikisha wanapanda miti katika maeneo ya wazi pia katika makazi yao kwani kufanya hivyo kutaifanya wilaya kuondokana na hali ya ujangwa na kuifanya Mbarali kuwa ya kijani.

“Taasisi zote za Serikali na zisizo za Serikali zilizopo Wilaya ya Mbarali hakikisheni mnapanda miti katika ofisi zenu, najua wote tunafahamu faida ya kuotesha miti katika mazingira yetu vilevile naendelea kusisitiza tuendelee kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Corona kwa kufuata maelekezo yote yanayotolewa na Viongozi Wakuu wa Nchi pamoja na Wizara ya Afya”. Alisema.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma Msangi, amewataka wananchi wote Wilaya ya Mbarali kuendelea kupanda miti kwa wingi kwenye makazi yao ili iweze kuwatunza kwani siku zote Miti ina faida nyingi ikiwemo kutunza vyanzo vya maji, kudhibiti hali ya hewa, kivuli, matunda na faida zingine.

Katika zoezi hilo elimu dhidi ya tahadhari na hatari ya ugonjwa wa Corona (COVID 19) ilitolewa kwa viongozi na wananchi waliohudhuria na kuwaomba kuwa mabalozi wa kutoa elimu hiyo katika maeneo yao ili waweze kujikinga na kuwakinga wengine.

Kwa ajili ya kuendelea kuchuka tahadhari ya ugongwa wa Corona bila kuathili shughuli zingine, zoezi hilo lilihudhuriwa na watu wachache wakiwemo, wajumbe wa Kamati ya Usalama Wilaya, wataalamu kutoka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya wilaya ya Mbarali, Wazee Maarufu, Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya kata pamoja na baadhi ya viongozi wa kata na vijiji
MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.