• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

M/KITI UV-CCM TAIFA AIPONGEZA MBARALI KWA KUWAWEZESHA VIJANA.

Tarehe ya Kuanza: December 6th, 2018

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UV-CCM) Comred Kheri D. James ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kwa kuwawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35 kupata mikopo isiyo na riba ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Comred Kheri ametoa pongezi hizo alipokuwa kwenye ziara yake katika Wilaya ya Mbarali siku ya tarehe 05/12/2018 kwa lengo la kukagua uhai wa Jumuiya za Vijana, Utendaji wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbarali,  utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi hususani katika masuala yanayowahusu vijana, kuangalia mahusiano ya Chama na Serikali pamoja na kuangalia uhai wa Chama Cha Mapinduzi.

Akikagua miradi Comred Kheri alisema kuwa Serikali ilichelewa kuanza kutumia mfumo wa force account kwani mfumo huo umeweza kupunguza gharama zisizo na ulazima katika kukamilisha miradi ya Serikali.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune alisema kuwa, jumla ya kiasi cha tsh milioni 526 zimetolewa kwa ajili ya kuviwezesha vikundi vya Wanawake, Vijana na Walemavu kwa mwaka wa fedha 2016/17 na 2017/18.

Mhe. Mfune aliongeza kuwa kwa mwaka wa fedha 2016/2017 halmashauri ilifanikiwa kufikia lengo la asilimia  100 kwa kutoa fedha zote zilizopangwa kwa ajili ya kuviwezesha vikundi vya wanawake na vijana, kwa mwaka wa fedha 2017/2018 halmashauri ilifanikiwa kutoa asilimia 95, na kwa mwaka wa fedha 2018/2019 halmashauri inaendelea kutoka mikopo ikiwa na lengo la kufikia asilimia 100 ambayo ni  asilimia 10 ya mapato ya ndani.

Mwenyekiti wa UV-CCM Taifa alitembelea mabweni ya Shule ya Sekondari Rujewa, viwanda vya kukoboa mpunga vilivyopo Kata ya Ubaruku, viwanda vilivyopo katika eneo la mwekezaji  Mbarali Estates pamoja na kuhani msiba wa Katibu wa Hamasa wa Umoja wa Vijana Wilaya.

Vilevile mwenyekiti aliweza kufanya mkutano na mabaraza ya jumuia zote za  Chama Cha Mapinduzi Wilaya na baadae alifanya kikao na viongozi wote wa Serikali na Chama ngazi ya Wilaya.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.