• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mkurugenzi Awashukuru Wafugaji kwa Kujitokeza Kwenye Zoezi la Upigaji Chapa wa Mifugo

Tarehe ya Kuanza: November 22nd, 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg Kivuma H. Msangi, amewashukuru wafugaji wote wa Wilaya ya Mbarali kupitia kwa viongozi wao  kwa kutoa ushirikiano kwa Maafisa Mifugo na Watendaji ngazi ya Kijiji na Kata kwenye zoezi la upigaji chapa ng’ombe kwa kujitokeza kwa wingi kwenye  zoezi hilo kitu ambacho kimesaidia kuharakisha na kurahisisha zoezi hilo kwenda vizuri.

Akizungumza na wafugaji hao siku ya tarehe 21/11/2017 alipotembelea kujionea namna zoezi hilo linanavyoendele, Msangi amewaomba wafugaji kuacha kwenda kunywesha maji mifugo yao katika eneo la Ihefu ambalo lipo chini ya Hifadhi ya Taifa (RUNAPA) kwani wanapokwenda huko wanapewa adhabu ya kulipa fedha nyingi, na ni bora fedha hizo wakazichanga na zikatumika kuchimba kisima kikubwa ambacho kitatoa maji ya kutosheleza kunywesha mifugo yao.

Mkurugezi aliongeza kuwa, kwa wale ambao hawataleta mifugo yao kupigwa chapa watakuwa wanakiuka agizo la Serikali, na hao wote watachukuliwa kama wavamizi na watachukuliwa hatua za kisheria kwa  mujibu wa sheria.

Msangi aliongeza ya kuwa, zoezi hili lina faida nyingi ikiwemo kujua idadi ya mifugo ili kuweza kupanga matumizi bora ya ardhi kama miundombini ya majosho, maji na mengineyo, kuzua wizi wa Ng’ombe kwani akiwa na chapa ya Mbarali akipatikana Wilaya zingine itasaidia kujua alikoibiwa, itasaidia kuondoa hamahama ya mifugo inayotokea kila siku, kuzuia magonjwa kuhama kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine, kuondoa migogoro kati ya Vijiji, Wilaya, Mikao na Nchi.

Zoezi la kupiga chapa Mifugo kwa sasa linaendelea kwa Nchi nzima, tarehe ya mwisho ya zoezi hili kitaifa  ni tarehe 31/12/2017, ila kwa upande wa Mkoa wa Mbeya tarehe 30/11/2017.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.