• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

“Mwalimu anatkiwa kumlea mtoto kimwili, kiroho, kiakili na kijamii”

Tarehe ya Kuanza: February 3rd, 2018

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu Taifa Ndg. Oliver Mhaiki alipofanya ziara katika Wilaya ya Mbarali kwa ajili ya kujitambulisha na kufanya mkutano wa Kikao kazi na watumishi walio katika sekta ya elimu.

Akiwa katika Kikao hicho, Mwenyekiti wa Tume amewataka walimu kuwalea wanafunzi/watoto katika maadili mema, kimwili, kiroho, kiakili na kijamii, vilevile kufanya kazi kwa bidii ili iwe mfano bora wa kuigwa kwani wao ni Viongozi, mwalimu kama kiongozi anatakiwa kuto tumia madaraka yake vibaya, kumuheshimu na kumtii Mwajiri pamoja na kutii mamlaka zote halali zilizopo katika jamii inayowazunguka.

Mhaiki aliongeza kuwa, kuna mamlaka mbili ambazo zinasimamia walimu ambazo ni Mwajiri na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kushirikiana katika mambo mbalimbali yakiwemo, masuala ya ajira, kuthibitishwa kazini, kupandishwa cheo, kubadilishwa cheo, kupanga mipango ya mafunzo, kutoa taarifa kila robo, kustaafu/kuhitimisha utumishi, kuelimisha kuhusu uwajibikaji, haki, sheria, na utaratibu pamoja na hatua za kinidhamu.

Mwenyekiti alisema kuwa kuna kada ambazo zipo katika sekta ya elimu lakini hazihudumiwi na Tume wakiwamo, Maafisa Elimu wa Shule za Msingi na Sekondari, Waratibu elimu Kata na Wakufunzi. Mgawanyo huu upo kisheria, tume inashughulika na walimu wa shule za Msingi na Sekondari katika masuala ya ajira na nidhamu.

Tume ya Utumishi wa Walimu imeanza kufanya kazi tarehe 01/07/2016 na kwa sasa ipo chini ya Ofisi ya Rais Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na kwa sasa imesambaa katika Wilaya 139 ambazo zipo chini ya Ofisi za Wakuu wa Wilaya.

Naye Katibu Tawala Msaidizi Elimu kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa Bi. Paulina Ndigeza amewapongeza Walimu wote waliopo Mkoa wa Mbeya kwa kuweza kuupandisha Mkoa wa Mbeya kufikia asilimia 81.8 kwenye matokeo ya kidato cha nne na kufanikiwa kushika nafasi ya 6 kitaifa kutoka nafasi ya 13 kwa mwaka uliopita.

Bi Ndegeza aliongeza kuwa watu wengi hawaifahamu Tume ya Utumishi wa Walimu, na lengo la ziara hiyo ni kuitambulisha Tume na kuzungumza na watumishi wote waliopo chini ya Idara ya elimu.

Kaimu Mkurugenzi Mkurugezi Mtendaji, Katibu Tawala Wilaya, Katibu Msaidizi Tume ya Utumishi wa Walimu Wilaya pamoja na Walimu waliohudhuria wameishukuru Tume kwa kufanya ziara Wilaya ya Mbarali kwa ujio wao utaongeza chachu na ufanisi katika kuwahudumia wanafunzi.

Mkutano huo ulihudhuliwa na Mwenyekiti wa Tume taifa, baadhi ya viongizi kutoka Tume Taifa, Katibu Tawala Msaidizi Elimu (REO), Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali (DAS), Kaimu Mkurugezi Mtendaji, Walimu Wakuu, Wakuu wa Shule pamoja na Viongozi mbalimbali walipo chini ya sekta ya Elimu Wilayani Mbarali.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.