• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Nafurahishwa na Utendaji Kazi wa Kaimu Mhandisi wa Idara ya Ujenzi – Msangi

Tarehe ya Kuanza: May 29th, 2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma H. Msangi amempongeza Kaimu Mhandisi wa Idara ya Ujenzi Mr. Enock Francis Mtende kwa kufanya kazi kwa bidii na uzalendo mkubwa katika kipindi kifupi ambacho amekaimu nafasi hiyo.

Msangi ametoa pongezi hizo kwenye Kikao cha Timu ya Wataalam cha tarehe 28/05/2018 ambacho kinafanyika kila siku ya jumatatu ya wiki kwa ajili ya kufuatilia etekelezaji wa kazi za Idara na Vitengo zinazofanywa na Halmashauri.

“Katika kipindi cha Miezi Mitatu Mr. Enock amefanya vitu ambavyo sikutegemea kama ataviweza, ametumia muda wake mwingi nje ya masaa ya kazi kufuatilia kwa karibu Maendeleo ya Miradi ya ujenzi, amenishauri mambo mengi ambayo yameleta mafanikio makubwa kwenye taasisi yetu, huyu ni mfano wa kuigwa” 

Mr. Enock Francis Mtende alianza kukaimu nafasi ya Mhandisi wa Idara ya Ujenzi tarehe 20/02/2018 hadi sasa mara baada ya Kaimu Mkuu wa Idara ya Ujenzi Eng. Abbas Kitalima kupewa jukumu zito la kusimamia uboreshwaji wa Kituo cha Afya Utengule Usangu unakamilika ndani ya muda uliopangwa na Serikali.

Katika kipindi alichoachiwa Ofisi Mr. Enock Mtende ameweza kuishauri Ofisi kutengua baadhi ya mikataba ya ujenzi wa Majengo ambayo yalikuwa hayaendani na kasi ya Serikali ya awamu ya tano na kushauri utumike Mfumo wa Force Account kitu ambacho kilipelekea Majengo hayo kukamilika kwa wakati na ubora zaidi. Majengo hayo ni Wodi ya Wazazi Kituo cha Afya Mawindi, Wodi ya Wazazi Kituo cha Afya Madibira pamoja na Wodi ya Wazazi Kituo cha Afya Utengule Usangu.

Vilevile ameweza kufanya usimamizi wa Majengo mbalimbali kama Bweni la wanafunzi Sekondari ya Madibira, Nyumba ya Watumishi ya Familia Mbili Kijiji cha Nyakazombe kata ya Miyombweni, ujenzi wa Madarasa Shule ya Sekondari Itamboleo na Kapunga zilizopo Kata ya Itamboleo, ujenzi wa maabara Shure ya Sekondari Ipwani iliyopo kata ya Ipwani, ujenzi wa Kituo cha Afya Kapunga, ujenzi wa madarasa  matatu Shule ya Msingi Isisi iliyopo Kata ya Rujewa, ujenzi wa madarasa matatu na vyoo Shule ya msingi Ibohora Kata ya Ubaruku, ujenzi wa madarasa na Ofisi Sekondari ya Mwakaganga iliyopo Kata ya Ubaruku.

Usimamizi wa ujenzi wa vyumba vitatu na Ofisi katika Sekondari ya Igava kwa kushirikiana na RUNAPA, Usimamizi wa ujenzi wa bwalo la Chakula Mawindi Sekondari kwa kushirikiana na RUNAPA.

Usimamizi wa ujenzi wa zahanati kwa kila Kijiji katika Wilaya ya Mbarali pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na ujenzi ulio bora sambamba na utoaji wa Vibali vya ujenzi.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.