• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Naibu Waziri Ashusha Neema kwa Wakazi wa Kitongoji cha Machimbo Mbarali

Tarehe ya Kuanza: December 3rd, 2017

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Japhet Ngaironga Hasunga  ameahidi kuwalipa fidia ya kiasi cha tsh milioni 717,653,500/=  wakazi wa Kitongoji cha Machimbo wapatao 308 wanaoishi katika Kijiji cha Mabadanga kata ya Mapogoro ambao  wamechukuliwa maeneo yao kwa ajili ya kupisha upanuzi wa Pori la Akiba la Mpanga Kipengele hadi kufikia mwezi wa pili mwaka 2018.

Mhe. Naibu Waziri aliyaongea hayo kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa katika Kitongoji hicho cha Machimbo, wakati alipofanya ziara ya kutembelea Pori la Akiba la Mpanga Kipengele siku ya jumamosi ya tarehe 02/12/2017.

“Naagiza hadi kufika mwezi wa pili mwishoni watu wote wawe wameshalipwa, nitapita hapa mwezi wa pili, na mwakani tutalipa Vijiji vingine”

Mhe Hasunga aliongeza ya kuwa, Jumla ya Vijiji 13 vinatarajiwa kulipwa fidia kwa ajili ya kupisha Pori hilo la Akiba, kwani maamuzi ya Serikali ni kuwalipa fidia wale wote ambao upanuzi wa Pori umegusa maeneo yao. Katika kuwalipa wakazi hao, Serikali imepanga kuwalipa kwa awamu kwa kuanza na Kitongoji cha Machimbo kilichopo  Kijiji cha Mabadaga.

Vilevile alisema kuwa upanuzi wa Pori la Akiba la Mpanga Kipengele utasaidia kuongeza mapato ya Nchi  ya mtu mmoja mmoja katika Wilaya ya Mbarali, kwani watu watajipatia ajira na biashara mbalimbali zitaanzishwa kupitia watalii watakaotoka sehemu mbalimbali na kuja kutalii katika eneo hilo.

Nao wananchi wanaoishi katika Kitongoji cha Machimbo wamemshukuru Mhe Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii kwa kukipendelea Kitongoji chao kwani kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiishi hapo bila ya kuwepo kwa huduma za kijamii ikiwemo huduma ya afya, elimu pamoja na maji, vilevile wameomba kusaidiwa katika suala la malipo kwani yana changamoto nyingi wengi wao hawana ufahamu mzuri wa utunzaji wa fedha.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amemshukuru Mhe. Naibu Waziri kwa fufanya ziara katika Wilaya ya Mbarali kwani ujio wake umeleta neema kwa wakazi wa Kitongoji cha Machimbo, kwani wakazi hao walikuwa na kiu kubwa ya kumsikiliza.

Mhe. Mfune aliongeza kwamba, fedha watakazolipwa zitawawezesha wakazi hao kuweza kutafuta maeneo mengine mbadala kwa ajili ya kuendesha maisha yao, vilevile ameahidi kusimamia yale yote yaliyoelekezwa ili kuhakikisha kila anaestahili kulipwa anapata haki yake

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.