• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Naibu Waziri Atembelea Maporomoko na Mapango Yaliyopo Ndani ya Pori la Akiba la Mpanga Kipengere

Tarehe ya Kuanza: December 3rd, 2017

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Japhet Ngaironga Hasunga amefanya ziara ya kutembelea maporomoko ya maji na Mapango/Mahandaki (ambayo yalitumiwa na chifu Mkwawa) yaliyomo ndani ya Pori la Akiba la Mpanga Kipengele ili kujionea namna maliasili hizo zinavyohifadhiwa siku ya jumamosi ya tarehe 02/012/2017.

Akiwa katika ziara hiyo aliyoongozana na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reubeni Mfune, Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wataalam mbalimbali kutoka katika taasisi tofauti wilayani hapa, Mhe Naibu waziri ameweza kujionea  Mahandaki ambayo yalitumiwa na Chifu Mkwawa wa Kabila la Wahehe kujificha alipokuwa akipigana vita na Wajerumani, na amefurahishwa na namna maporomoko hayo yanavyohifadhiwa katika pori hilo kwani ni kivutio kizuri sana katika kukuza utalii wa hapa Nchini.

“Naomba tutumie hii nafasi kutangaza Nchi yetu kuonyesha utajili tulio nao, mimi nina imani kabisa tukiwekeza vya kutosha tunaweza tukapata mapato makubwa na Wilaya zetu hizi Mbarali, Makete pamoja na Wanging’ombe tutakuwa tumefika mbali na tukapiga hatua, tukiwekezaa hoteli huku, tukawekeza vivutio vingine na watalii wakitoka huko wakavifuata, basi maendeleo ya watu wetu yataweza kupatikana”

Amesema kuwa, kwa sasa changamato iliyopo ni kwa wahusika kuboresha miundombini iliyopo ili iweze kufanikisha kufika kwenye mapango na maporomoko hayo kwa urahisi, na ametoa wito kwa watu wote pindi wanapopata nafasi waweze kutembelea na kutangaza Utalii ulipo Tanzania.

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amemshukuru Mhe. Naibu Waziri kwa kufanya ziara katika Wilaya ya Mbarali kwani ujio wake umeleta fulsa katika kufungua utalii wa Wilaya ya Mbarali.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.