• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Ndani ya Siku 14 Madeni Yote ya Tuzo za Wafanyakazi Hodari Yawe Yameshalipwa – Makalla

Tarehe ya Kuanza: May 1st, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla, ametoa muda wa siku 14 kwa waajiri wote waliopo Mkoa wa Mbeya kulipa malimbikizo ya madeni ya tuzo za zawadi za wafanyakazi hodari zilizokwisha tolewa kwa miaka iliyopita.

Ameyasema hayo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi tarehe 01/05/2018 (Mei Mosi) katika Viwanja vya Sokoine alipokuwa akiwahutubia wafanyakazi wote wa Mkoa wa Mbeya waliojumuika kwa pamoja kutoka katika Wilaya na Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya.

Mhe Makalla aligungua kuwa kuna baadhi ya tuzo za zawadi  zilizotolewa miaka ya nyuma hazijakabidhiwa kwa walengwa hadi sasa na kuamua kutoa agizo hilo la siku 14.

Katika kuhadhimisha sherehe hiyo ya wafanyakazi Duniani, Mhe Mkuu wa Mkoa amewapongeza Wakuu wa Wilaya kwa kushirikiana kwa karibu na wafanyakazi wote katika maeneo yao na  kupelekea Mkoa wa Mbeya kushika nafasi ya pili kwenye ukusanyaji wa Mapato Kitaifa pamoja na nafasi mbalimbali za Kitaifa hasa katika sekta ya elimu.

“Natambua changamoto zote zinazowakabili wafanyakazi, ila hatujawahi kusikia migomo, nawapongeza sana wafanyakazi, tukae pamoja, tutatue changamoto zinazotukabili wakati Serikali ikishughulikia changamoto zetu.”

Mhe Makalla aliongeza kuwa, Serikali kwa kushirikia na vyama vya wafanyakazi itaendelea kutatua kero za wafanyakazi ili waweze kuwahudumia wananchi kwa kiwango kinachotakiwa ikiwamo kusikiliza na kutatua kero zao kwa kutumia vizuri masaa ya kazi.

Kwa upande wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii, Mhe. Mkuu wa Mkoa amewataka Viongozi wote wa mifuko hiyo kulipa mafao ya wafanyakazi kwa wakati na wawashughulikie wale wote wanaowakwamisha.

“Fuatilieni fedha za michango zinazochangshwa kwa waajiri, elimu itolewe kwa waajiri na wafanyakazi ili kila mtu atimize wajibu wake.” Alisema Makalla

Akiongea kwa niaba ya wafanyakazi wote wa Mkoa wa Mbeya ndg Melboth Kapinga katibu wa TUICO Kanda, Alisema kuwa vyama vya wafanyakazi vinapongeza jitihada zinazofanywa na Mkoa katika kutatua kero mbalimbali ila wanatoa rai kwa Serikali kutafutiwa ufumbuzi kuhusu suala la mishahara hasa katika suala la makato.

Kuhusiana na madeni Kapinga alisema kuwa, madeni mengi ya watumishi hayajalipwa kwa wakati na hata walioanza kulipwa wamelipa kwa uchache sana.

KAULI MBIU YA MEI MOSI 2018 NI; “Uunganishaji wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Ulenge Kuboresha Mafao ya Wafanyakazi”

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.