• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Nimedhamiria Kutimiza Ndoto za Mhe. Rais.- Mhe. Chalamila

Tarehe ya Kuanza: July 4th, 2019

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa Hospitali Mpya ya Wilaya ya Mbarali inayojengwa katika Kata ya Lugelele siku ya tarehe 03/07/2019.

Mhe. Chalamila alisema kuwa amedhamiria kutimiza ndoto ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli ya kukamilisha ujenzi wa Hospitali Mpya ya Wilaya ili wananchi waweze kupata huduma, kwani kukamilika kwa hospitali hii, itakuwa ni ukombozi mkubwa  kwa wananchi wa Wilaya ya Mbalari pamoja na wananchi ambao sio wakazi wa Mkoa wa Mbeya wanaotumia barabara Kuu inayoelekea Mbeya.

“Hospitali ya Mpya ya Wilaya ya Mbarali ilishaanza kujengwa jengo moja la Ghorofa ambalo lilishatumia zaidi ya tsh million 730 ambazo zilitolewa miaka ya nyuma. Zilipokuja fedha nyingine ambazo zimetolewa na Mhe. Rais kiasi cha tsh. bilioni 1.5 kwa ajili ya kujenga majengo 7 ya Hospitali ya Wilaya, tuliamua kutoa zaidi  milioni 260 ili ziweze kukamilisha ujenzi wa jengo ambalo lilisimama kutokana ukosefu wa fedha kwa muda mrefu.”

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma H. Msangi alisema kuwa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ni mojawapo ya Halmashauri zilizopewa kiasi cha fedha cha ths. bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali mpya za wilaya kutoka Serikali Kuu, lakini kabla ya hapo kulikuwa na jengo la ghorofa moja ambalo lilikuwa halijamalizika.

“Badala ya kujenga majengo saba, sisi Wilaya ya Mbarali tumejenga majengo tisa ambapo tumeongeza majengo mawili ya ziada, ambayo ni jengo la Mifumo ya Umeme (Power House) na Jengo la Dawa za Chanjo (Vaccine). Majengo yote 9 hadi sasa yapo kwenye hatua nzuri ya umaliziwaji na hadi kufikia tarehe 15/07/2019 tutakuwa tumemaliza ujenzi wa majengo yote kutokana na fedha tulizonao ili wananchi waanze kupata huduma.”

Majengo yanayojengwa ni pamoja na Jengo la Wazazi (Maternity), Jengo la Maabara (Laboratory), Jengo la Mionzi (Radiology), Jengo la Dawa za Chanjo (Vaccine), Jengo la Kuhifadhia Madawa (Pharmacy), Jengo la Kufulia Nguo (Laundry), Jengo la Mifumo ya Umeme (Power House), Jengo la Wagonjwa wa Nje(OPD) pamoja na Jengo la Utawala (Administration).

Mwisho



Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.