• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC MBEYA AKABIDHI BATI ZA MILIONI 20 KWA WILAYA YA MBARALI

Tarehe ya Kuanza: December 24th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila, Ametekeleza ahadi yake aliyoitoa siku ya Harambee ya tarehe 18/12/2019 katika Wilaya ya Mbarali ya kutoa bati 840 (bundle 70) zenye thamani ya kiasi cha shilingi 20,3000,000/= milion kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa miundombinu ya vyumba vya madarasa.

Mhe. Chalamila ametekeleza ahadi hiyo siku ya tarehe 23/12/2019 katika ukumbi wa Mkapa uliopo mkoani Mbeya alipokuwa akikabidhi msaada wa Bati 3,000 (bundle 250) kwa Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Mbeya wenye mahitaji ya ujenzi wa vymba vya madarasa.

*“Tunatakiwa kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 59 kwa mkoa mzima, wenzetu Mbarali wana mzigo mkubwa wa madarasa ambayo sio chini ya 36 ambayo yanatakiwa yawe yamekamilishwa kabla ya mwezi wa pili, nimenunua bundle 250 zenye gharama ya tsh milio 72.5 kwa lengo la kupunguza mzigo ili watoto wetu waweze kuingia madarasani.”*

*“Wenye mahitaji makubwa zaidi kama Mbarali nitawapa bundle 70 kwa lengo la kupunguza mzigo wa madarasa ili waezeke haraka na watoto wetu waweze kuanza kuanza kusoma kwa haraka zaidi.”*

Akizungumza katika makabidhiano hayo, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kutekeleza ahadi yake aliyoitoa ndani ya muda mfupi na amewataka wananchi wa Wilaya ya Mbarali kuendelea kuchangia nguvu kazi pamoja na vifaa vingine ili kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vilivyobaki.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mhe. Francis Mtega amesema kuwa ahadi hii imetekelezwa kwa muda muafaka ambao kumekuwa na mahitaji makubwa ya umaliziwaji wa vyumba vya madarasa na amewataka wazazi kujiandaa kupeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kabla ya mwezi wa pili 2019.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma Msangi amesema, mara baada ya kukabidhiwa bati hizo kuna uhakika kwa zile shule zilizofikia hatua ya kupauliwa zitapauliwa na wanafunzi 1,665 ambao walikuwa bado hawajachaguliwa wataingia kidato cha kwanza.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amegawa bati bundle 250 kwa halmshauri zote 7 za Mkoa wa Mbeya ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali wamepewa Bundle 70, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya bundle 55, Halmashauri ya Jiji la Mbeya bundle 55, Halmashauri ya Wilaya ya Kyela 15, Halmashauri ya Wilaya ya Busekele 15, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya 15 na Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe 25.
MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.