• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI YATOA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MAAFURIKO MBARALI

Tarehe ya Kuanza: January 1st, 2020


Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe Reuben Mfune amegawa msaada wa vyakula vyenye thamani ya shilingi million 5.1 kwa wakazi 208 wa kata ya Igava kijiji cha Igava ambao wameathirika kwa kiasi kikubwa na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani hapa.

Mhe. Mfune ametoa msaada huo wa vyakula siku ya jumatano ya tarehe 01/01/2020 alipokwenda kwa kuwajulia hali pamoja na kutekeleza ahadi aliyoitoa siku ya tarehe 31/01/2019

“Jana niliwaahidi tunakwenda kutafuta chochote, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ametoa vyakula vyenye thamani ya shilingi milioni tano na laki moja, najua hakitakidhi mahitaji, ila kitasadia kusukuma siku tukiwa tunaendelea na mipango mingine, nataka wale wenye uhitaji ndio wapewe msaada huu, viongozi wa ngazi ya kata na vijiji simamieni hili, na nawasihi wananchi wote wasirudi kwenye nyumba ambazo zimeharibika.”

“yapo maeneo mengine ambayo pia yameathirika na maaafuriko, tunaendelea kukusanaya taarifa, na tutawafikia pia kadri tutakavyoendelea kupata misaada. Natoa wito kwa wasamalia wema walio ndani na nje ya Mbarali waendelee kutoa misaada kwa watu ambao wamepata shida hii.” alisema Mhe. Mfune

Naye Mratibu wa Maafa Wilaya ya Mbarali, Ndg. Zabron Abel alisema kwamba mvua zilianza kunyesha kwa kasi siku ya jumapili ya tarehe 29/12/2019 na siku ya jumatatu ya tarehe 30/01/2019 wakazi wengi wa kata ya Igava waliathirika kwa sehemu kubwa ambapo jumla ya wakazi 215 walipoteza makazi yao pamoja na vyakula na kulazimika kuhamia kwenye majengo ya shule.

Baadhi ya wananchi wa kata ya Igava ambao makazi yao yameathirika wamemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kuwasaidia chakula kwa wakati kama alivyoahini ambapo chakula hicho kitawasaidi kwa siku kadhaa huku wakiwa wanajipanga kujitafutia chakula na makazi mengine.

Mkuu wa wilaya ya mbarali amekabidhi unga wa sembe kilo 1050, mchele kilo 1050, maharagwe kilo 480, chumvi pakti 208 na mafuta ya kupikia lita 208 ambapo vyakula hivyo vitagawiwa kwa wananchi 208 wa kijiji cha Igava ambao nyumba zao zimeharibika kwa kiasi kikubwa na kwa kila mmoja wao atapata kilo 5 za unga wa sembe, kilo 5 za mchele, kilo 2 za maharagwe, pakti moja ya chumvi pamoja na mafuta lita moja.
MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.