• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TALGWU WAKABIDHI VIFAA VYA MILION 1 KUKABILIANA NA CORONA MBARALI

Tarehe ya Kuanza: May 4th, 2020

Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) Wilaya ya Mbarali kwa Kushirikiana na Uongozi wa TALGWU Mkoa wa Mbeya, wamekabidhi vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa Corona vyenye thamani ya kiasi cha shilingi 1,000,000 kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali ikiwa ni mchango wao ili viweze kutumiwa na watumishi wa idara ya afya kujikinga na Corona pindi wanapotoa huduma kwa wangonjwa.

Akipokea vifaa hivyo ofisini kwake siku ya tarehe 04/05/2020, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune ameushukuru uongozi wa TALGWU kwa kuguswa na kuamua kununua vifaa hivyo ikiwa ni moja ya juhudi za kuisaidia Serikali kupambana na COVID 19.

“Tunahitaji wadau kama nyie ili kuweza kusadia juhudi za Serikali katika kupambana na ugonjwa wa Corona. Serikali ina vifaa vingi, ila kutokana na ugonjwa huu havitoshelezi, nawaomba na wadau wengine wajitokeze kuweza kusaidia juhudi hizi.”

“Nawasihi wananchi wa Mbarali kuendelea kufanya kazi kwa bidii kama alivyoagiza Mhe. Rais Magufuli kwa kufuata taratibu zote za kujikinga na ugonjwa wa Corona kwenye maeneo yote ambayo ni hatarishi na yenye mikusanyiko, na kwa wale wanaokwenda kwenye masoko, minada na magulio, muwe mnakwenda mara moja na kurudi.” alisema Mhe. Mfune

Katibu wa TALGWU Mkoa wa Mbeya Ndg. Sunday Nzaligo alisema kuwa fedha zilizotumika kununulia vifaa hivyo ni mchango wa TALGWU Wilaya ya Mbarali na  walipata wazo la kuchangia vifaa hivyo baada ya kuona mahitaji ya vifaa vya kujikinga na Corona yamekuwa ni makubwa.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Dr. Godfrey Mwakalila ameushukuru uongozi wa TALGWU Wilaya ya Mbarali kwa kutoa vifaa hivyo kwani vitawasaidia kujikinga pindi watakapokuwa wanatoa huduma za afya pamoja na elimu kwa wananchi namna ya kujikinga na ugonjwa wa Corona.

Vivaa vilivyokabidhiwa ni thermo scanner 1, Sanitizer lita 10, Barakoa 150 pamoja na vidonge vya chlorine 500.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.